‘Jiandikisheni mwondoe viongozi wote mizigo’
WATANZANIA wametakiwa kutumia fursa na haki iliyopo mbele yao ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na kushiriki siku ya kura ili waachane na malalamiko ya kupatikana kwa viongozi mizigo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Chegeni awavaa viongozi mizigo
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Dk. Raphael Chegeni, amesema viongozi wanaoonekana kuwa ‘mizigo’ waliopewa dhamana ya kuwaongoza wananchi Wilaya ya Busega, Simiyu watekeleze vema wajibu wao. Dk....
11 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Siku za viongozi mizigo zinazidi kuhesabika
DHANA ya watawala kudhani kuwa wanaweza kuwaongoza wananchi kwa fikra zao binafsi bila kukidhi matakwa ya sheria za nchi ni moja ya vituko vinavyoashiria kufikia ukomo kwa viongozi waliobweteka. Kwa...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Viongozi wote Bavicha wapoteza sifa kugombea
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Mandela ni kioo cha viongozi wote duniani
MARAIS na viongozi wote duniani, ni muhimu wakajipima na kujitazama mwenendo na sura ya utawala walionao kwa kujiangalia kwa kupitia baba wa taifa la Afrika Kusini na nembo ya Afrika,...
11 years ago
Habarileo19 Jul
Viongozi wote wa juu Chadema Kigoma wajiengua
WALIOKUWA viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa Kigoma wamejiuzulu nyadhifa zao zote ndani ya chama hicho kwa kile wanachoeleza kukiukwa kwa misingi ya Demokrasia ndani ya chama hicho ambayo ndiyo msingi wa kuanzishwa kwake.
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA WOTE

Ametoa shukrani hizo katika Misa takatifu kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imaculata Chamwino Dodoma
Akiwa Kanisani hapo, Rais Magufuli ameendesha harambee ya kuchangia upanuzi wa Kanisa hilo na kufanikiwa kuchangisha zaidi ya Tsh. Mil 17 ikiwemo Tsh. Mil 10 aliyochangia yeye mwenyewe na mifuko 76 ya saruji, ametaka upanuzi wa kanisa uanze kesho.

9 years ago
MichuziViongozi wateule wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakutana na Watumishi wote
11 years ago
Michuzi27 Mar
Hoja ya haja: Viongozi wa Siasa tupatieni katiba ya watu wote sio ya vyama
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Silaa: Jiandikisheni Daftari la Wapigakura