Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinamizi linalowaweka roho juu wakazi wa Dar

Wapo wanaoombea msimu wa mvua uanze ili hali ya joto la Dar es Salaam ipungue, lakini kwa wakazi wengi huwa na maombi tofauti na wakati mwingine wingu jeusi linapotanda tu, taratibu za kuhama makazi yao huanza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvua zawaweka roho juu wakazi Dar

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, zimezua taharuki kwa wakazi wake hasa baada ya kusababisha athari katika baadhi ya maeneo muhimu.

 

10 years ago

Mtanzania

Urais roho juu CCM, Ukawa

napeslaaPatricia Kimelemeta na Aziza Masoud, Dar es Salaam
JOTO la kuwatangaza wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linazidi kupanda huku kila upande ukimvizia mwenzake aanze kutangaza mgombea wake.
Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa Ukawa katika mkutano wao na wanahabari kueleza mgombea wao atatangazwa Machi mwaka huu, lakini hadi sasa imepita miezi miwili bila kujulikana.
Wakati hayo yakiendelea ndani ya Ukawa, CCM...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli awaweka roho juu vigogo mashirika ya umma

Siku moja baada ya Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa kuwasimamisha watendaji wa Bandari na TRA, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amemtaka kila mtendaji mkuu au ofisa masuhuli wa Serikali kujiuliza ni kwa kiasi gani anatekeleza kwa vitendo dhamira ya Rais ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.

 

10 years ago

Michuzi

Mrembo Miss Tanzania aongoza wakazi wa dar katika zoezi la uchangiaji damu jijini dar leo

Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya Damu Salama,Selina Joseph. Zoezi hilo la uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakishiliki zoezi la uchangiaji damu katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jinamizi la mihadarati G Bissau awamu ya {3}

Riwaya ya ulanguzi wa mihadarati na athari yake kwa kijana Buba ambaye ameanza kufuja mali yake na kuwa mteja

 

10 years ago

GPL

WASTARA: NINA JINAMIZI LA AJALI!

Waandishi wetu
BAADA ya kunusurika kifo katika ajali ya gari, ambayo mwenyewe amesema ni ya tisa tokea ajitambue, muigizaji nyota Wastara Juma, amesema anaamini ana jinamizi la ajali linalomuandama, Risasi Jumatano lina mkasa kamili. Wastara akiwa na majeraha usoni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Tabata. Wastara, akiwa katika gari lililokuwa likiendeshwa na msanii mwenzake, Bond Bin Suleiman majira ya saa nne usiku...

 

10 years ago

BBCSwahili

Umaskini bado jinamizi duniani

Shirika linalopiga vita umaskini la ONE Campaign limetoa wito kwa serikali za dunia kuafikiana kuhusu mpango wa kukabiliana na viwango vikubwa vya umaskini ifikapo mwaka 2030.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi ni jinamizi linaloua wengi

Inakisiwa dola Trilioni 1 huporwa kutoka kwa nchi maskini kila mwaka huku maisha ya mamilioni ya watu yakihatarishwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani