Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINI SIZAI TENA NJE YA NDOA

MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa tena nje ya ndoa mpaka atakapoolewa. Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. Akistorisha na paparazi wetu, Jini Kabula alisema hawezi kurudia tena jambo hilo kwani anaogopa kuchanganya damu kwa vile baadaye watoto wanaweza kuja kugombana na kukosa maelewano hivyo anamuomba Mungu atimize ahadi ya kuolewa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JINI KABULA AKOMA KUZAA NJE YA NDOA

Stori: Mwandishi Wetu
Funzo! Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa amejifunza kutokana na makosa hivyo hawezi kuzaa tena nje ya ndoa. Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ Akizungumza na mwanahabari wetu, Jini Kabula ambaye anabanjuka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Ruta Maximilian Bushoke, alitiririka: “Nilizaa na Mr Chuz (Tuesday Kihangala)...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA: SITAZAA TENA NJE YA NDOA

Stori: Laurent Samatta
DIVA wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amefunguka kuwa alikosea kuzaa nje ya ndoa, na sasa hana mpango huo tena. Rose alisema suala la ujauzito wakati mwingine linaweza kumjia mtu bila kupenda lakini kwa sasa atajitahidi kuona anazaa akiwa ndani ya ndoa. Diva wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka. “Lolote linaweza kutokea lakini kiukweli kwa sasa nitakuwa makini kidogo na ninamuomba Mungu anisaidie...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA: NAMSUBIRI BUSHOKE TUFUNGE NDOA


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini. Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: “Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu,...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwepo  na utata  mkubwa  kuhusu  urithi  wa  mali  za  marehemu  hasa  inapotokea  kuwa  marehemu  alikuwa  na  mke   zaidi  ya mmoja  na  hapohapo  watoto  wanaotokana  na  mama  tofauti.  Tumeshashuhudia  magomvi  makubwa  misibani   lakini  pia  tumeshuhudia  na  tunaendelea kushuhudia  utitiri  wa mashauri  kuhusu  mkanganyiko  wa  mali za marehemu ambaye  familia  yake  ni  ya watoto  wanatokana  na  mama  tofauti. Kutokana  na  hayo  kuna umuhimu  mkubwa  wa...

 

10 years ago

GPL

DIDA NDOA TENA!

Stori: Waandishi wetu
SIKU chache baada ya kudai hawezi kuolewa kwa sasa, mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’, ameonesha matumaini mapya ya kuolewa baada ya kumwanika mchumba’ke mpya. Mtangazaji wa Kipindi wa Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' akimlisha keki Shemeji yake, Feisal. Dalili za matumaini hayo mapya zilionekana usiku wa kuamkia Alhamisi...

 

9 years ago

Global Publishers

Wastara ndoa tena!

WASTARA1Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma.

Na Waandishi Wetu
BAHATI ILIYOJE! Baada ya hivi karibuni mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kutimiza miaka mitatu kaburini, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba anatarajia kuolewa tena kwani ameshapata chaguo sahihi.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko nyumbani kwao Tabata Barakuda jijini Dar, Wastara alisema wakati wa msiba wa mumewe aliweka nadhiri kwamba ataolewa baada ya miaka mitatu hivyo kwa sasa yuko tayari kuingia kwenye ndoa...

 

10 years ago

GPL

BELA: SITAKI TENA NDOA

Na Shani Ramadhani/Uwazi
HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jack: Sitaki Tena Ndoa!

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena hii ni baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi.

Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake.

“Katika ndoa lazima kuwe na mabaya na mazuri, hata hivyo siwezi kusema ndoa ni chungu hapana, ila mimi kwa sasa hivi nimeona nipumzike kwanza sitaki tena ndoa labda...

 

10 years ago

GPL

NIKIACHIKA, NDOA TENA BASI- DAVINA

Na Hamida Hassan
Staa wa filamu za Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kusema kuwa kama itatokea ndoa yake ikawa ndiyo imevunjika kabisa hatarajii kuolewa tena, itakuwa ndiyo imetosha. Staa wa filamu za Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Davina alisema anamshukuru Mungu kwa kubahatika kuonja tamu na chungu ya ndoa na sasa kama itatokea mumewe akaona waachane...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani