Jinsi ya kuwa na kampuni binafsi
Imekuwa ni kawaida kwa Watanzania wengi kufanyabiashara bila ya kuwa na kampuni rasmi iliyosajiliwa hata kama wana mitaji mikubwa. Athari za kuendesha biashara isiyo sajiliwa ni pamoja na kujikuta unakosa zabuni kubwa za kiserikali na kwa makampuni makubwa, unaweza kukosa kufanya biashara kimataifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Virusi vya Corona: Jinsi unavyoweza kufanikiwa binafsi kujitenga ili kuepusha maambukizi.
Kuanzia kuagiza chakula hadi namna unavyoweza kuishi na familia, hivi ndivyo unavyoweza kuepuka kusambaza virusi vya Corona.
5 years ago
Michuzi
TAASISI NA KAMPUNI BINAFSI ZAOMBWA KUCHANGIA VIFAA MBALIMBALI KUPAMBANA NA CORONA.
Na Pamela Mollel, Arusha
Taasisi na makampuni binafsi wameaombwa kuchangia vifaa mbalimbali kwaajili ya kusaidia kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona (Covid - 19)ambao hivi sasa unaleta mtikisiko wa kiuchumi
Aidha wataalam na makada wa afya zaidi ya 525 wamepewa mafunzo elekezi juu ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona
Rai hiyo imetolewa jana Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Hargeney Chitukuro wakati alipokuwa akifungua kikao kazi cha wataalam wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii katika...
10 years ago
Vijimambo
Watanzania wa UK wagomea mradi mchafu wa kukaguliwa magari yao na kampuni binafsi.

Mwanzo wa yote nataraji kuwa wote mko salama na mnaendelea vyema na uchapaji kazi kama kawaida.
Rejea kichwa cha habari hapo juu,tunaomba mtu peperushie hii habari ili wahusika wajue kitu wanachokifanya sio sawa na wasijaribu kutuburuza bila kutumia busara na kufuata sheria.
Ukitazama kwenye attachment utaona tangazo la TBS ambalo wanatangaza kuanzia tarehe 16/03/2015.Kuna kampuni binafsi inayomilikiwa na watanzania hapa Uk,ambao wanasemekana wameshinda...
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Je unajua jinsi unavyoweza kuwa kiongozi bora
Kufuatia uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni kuna baadhi ya wasomaji wameniomba niandike kuhusu uongozi. Hata hivyo, nilipoamua kuandika kuhusu mada hii nikawa na hofu kuwa itasomwa na watu wachache sana yaani viongozi tu.
11 years ago
Michuzi.jpg)
SOMO LA BURE LA LEO: KUWA MAKINI KATIKA KUTOA TAARIFA BINAFSI MITANDAONI
Na ticha Yusuph Kileo.
Katika Muendelezo wa Kuelimisha Jamii jinsi ya kubaki salama mitandaoni, leo najikita katika maswala ya USIRI (PRIVACY) ambapo taarifa nyingi za mtu binafsi si vyema kuwekwa mitandaoni na pia maelezo mafupi ya namna wahalifu mtandao wanatumia taarifa hizo za siri mitandaoni kuleta madhara.
Njia za awali ambazo wahalifu mtandao wanatumia kabla ya kusababisha madhara ni kukusanya taarifa za mhusika ambaye wanategemea kumdhuru kwa njia inayojulikana kitaalam kama...
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Spencon: Jinsi tuhuma za rushwa, vitisho na magenge ya uhalifu zilivyoandama mwisho wa kampuni kubwa ya ujenzi Afrika
Uchunguzi wa Makala ya Africa Eye unabainisha miezi ya mwisho ya 'vurugu' ya moja ya yaliyokuwa makampuni bora ya ujenzi barani.
11 years ago
Mwananchi31 Aug
Jinsi mama mpya unavyoweza kuwa mlezi bora zaidi
Kuwa mama si kitu rahisi kama watu wengi wanavyodhani. Kuna mambo mengi yanayopaswa kuzingatiwa ili kuwa si tu mama bora bali pia mlezi sahihi wa familia.
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Kifo cha George Floyd: Uchunguzi binafsi wabaini kuwa alikufa kwa kukosa hewa
George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alifariki dunia kwasababu ya ukosefu wa hewa safi ya (oksijeni), kwa mujibu wa uchunguzi binafsi wa maiti yake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania