Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jitu Son atoa baiskeli na kompyuta kwa wananchi wa jimbo lake

Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mkoani Manyara Jitu Vrajlal Son, akiwakabidhi kompyuta Makamu Mkuu wa shule ya sekondari Chief Dodo ya Kata ya Riroda Jackson Warae na Mratibu elimu kata ya Riroda Peter Yaghambe, mbunge huyo aligawa kompyuta tano kwenye tarafa ya Goroi ambapo kila shule ya sekondari kwenye kata tano za tarafa hiyo zilipata kompyuta moja, katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Nicodemus Tarmo.Mafundi wakiziweka sawa baiskeli 32 za wahudumu wa afya vijijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWAKILISHI WA KIKWAJUNI MHE MAHMOUD ATOWA ELIMU YA KATIBA MPYA KWA WANANCHI WA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmoud Mussa akizungumza na Viongozi wa UWT wa Jimbo hilo kutokana na kuielewa Katiba Mpya iliyopendkezwa na kusoma baadhi ya Ibara hizo na kutowa ufafanuzi wake, mkutano huo umefanyika katika Tawi la CCM Kilimani. Mhe Mahmoud akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Viongozi wa UWT wa Jimbo la Kikwajuni na kuwataka kuisoma Katiba hiyo mpya iliopendekezwa na kutowa elimu juu ya Katiba hiyo kwa Wananchi wa Shehia zao.Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni...

 

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslimu na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.  Diwani...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA JIMBO LAKE


 Baadhi ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya Sh. Mil 60  Mbunge wa Jimbo la  Temeke, Abbas Mtemvu akikabidhi madawati na  Mkuu wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) , Samuel Ng'andu, Dar es Salaam jana, baada ya mbunge huyo kuamua kununua madawati 270 kwa ajili ya shule za sekondari zilizopo Jimboni kwake akiongozana na...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla aridhia pendekezo la wananchi wa jimbo lake kumuona Waziri Mkuu

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi wa jimbo lake kumuona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia mifugo yao kenye Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.
Kutokana na hali hiyo Mbunge kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Vicky Kamata atoa baiskeli 500 kwa wanawake wa mkoa wa Geita

 Katika kutambua na kudhamini juhudi za Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulahman  Kinana katika kukuiimarisha chama Mbunge wa Viti Maalumu  Mhe. Vicky Kamata amejitolea kutoa baiskel 500  kwa wanawake wa Umoja wa Wanawake wa mkoa mzima wa Geita ambapo  Wanawake hao watatumia baiskel hizo kukuiimarisha chama. Pichani Mhe Kamata akipongezwa kwa moyo wake huo Baiskeli alizotoa Mhe Vick Kamata mkoani Geita Mhe. Vicky Kamata akihutubia umati wa wananchi kwenye mkutano huo wa hadhara mkoani GeitaKatibu...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DCB YAKABIDHI MSAADA WA KOMPYUTA KWA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ARNAUTOGLU

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Mhe.Dkt.Pindi Chana akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Kompyuta katika  Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu  kilichopo Manispaa ya Ilala,leo jijini Dar es Salaam.     Meneja Masoko na Maendeleo ya Bidhaa wa DCB Commercial Bank,Bw.Boyd Mwaisame akifafanua jambo  wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Kompyuta katika  Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu  kilichopo Manispaa ya Ilala,leo jijini Dar es Salaam.   ...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni aanza Kutekeleza Ahadi Zake kwa Wananchi wa Jimbo la Chumbuni kwa Ujenzi wa Ukuta Kituo cha Afya Chumbuni

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar na Kamanda wa Vijana Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwahutubia Vijana wa UVCCM Tawi la Chumbuni wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa Vijana Mhe Shaka Hamdu Shaka kutembelea Jumuiya za Vijama katika Majimbo ya Zanzibar.Vijana wa CCM wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa mkutano ziara ya Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka,mkutanom huo wa Vijana umefanyika tawi la CCM Chumbuni KarakanaMbunge wa Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza...

 

10 years ago

Michuzi

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA MSINGI PASUA MJINI MOSHI

Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao cha wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo.Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akimkabidhi mwenyekiti wa Shule ya msingi Pasua Shabani Machivya msaada wa Kompyuta kwa ajili ya shule hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani