Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK : Tutafunga kamera za CCTV kulinda wananchi

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete amesema ili kuwaweka salama wananchi kamera maalum za CCTV zitafungwa katika miji mikuu kukabiliana na wahalifu nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kamera za CCTV kufungwa mitaani Z’bar

MAENEO mbalimbali visiwani Zanzibar, yamepangwa kuwekwa kamera za CCTV, kukabili matukio ya uhalifu. Waziri wa Habari, Utangazaji, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk amesema mchakato wa utafiti wa kuweka kamera hizo, umekamilika na kipaumbele ni eneo la Mji Mkongwe.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara watakiwa kufunga kamera za CCTV

WAFANYA BIASHARA wakubwa wa hoteli na maduka nchini wametakiwa kufunga kamera za CCTV kwenye biashara zao ili unapotokea uhalifu wahusika waweze  kubainika mara moja na kukamatwa kiurahisi bila kusumbua jeshi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuimarishe matumizi ya kamera za CCTV kwa usalama wetu

Siku moja nilikuwa niko safarini nikaona basi lililokuwa linakuja mbele yangu likilipita jingine kwa mwendo wa kasi.

 

9 years ago

Mwananchi

Tunawapongeza wananchi kwa kulinda amani

Mwaka 2015 ulipoanza Watanzania walikuwa wamegawanyika kutokana na matukio mengi ya kisiasa yaliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2014.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kulinda maeneo ya ardhioevu

WANANCHI wanaoishi kando ya maeneo ya ardhioevu na sehemu ambazo mito inakutana na bahari, wamehimizwa kuzingatia matumizi bora ya maeneo hayo, ili yasilete madhara ya mali, uhai wao na uharibifu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

LEAT yawajengea uwezo wananchi kulinda rasilimali

CHAMA cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira (LEAT) kwa sasa kinaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi, kamati za maliasili na mazingira na viongozi kutoka vijiji na kata mbalimbali za wilaya ya...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KULINDA AMANI YA NCHI - CP CHAGONJA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
JESHI la Polisi limewataka wananchi kuendelea na utulivu kama walivyoonyesha wakati wa upigaji kura na hatimaye kupatikana katika siku ya uampishwaji wa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kamishina wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi hilo, Paul Chagonja amesema kuwa jeshi la polisi limeridhishwa na utulivu uliokuwepo wakati wa upigaji kura, na utulivu huo umeweza kufanya uchaguzi kwenda salama na hatimaye...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WAMETAKIWA KULINDA AMANI SIKU YA UCHAGUZI MKUU-MAKONDA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiIKIWA  zimebakia siku nane kufikia Uchaguzi Mkuu, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda  amewataka wananchi wa wilaya hiyo kusimamia amani na utulivu wa nchi  bila kufanya hivyo  ahadi za wagombea wote hazitoweza kutekelezeka na badala yake kuanza kuugua maumivu ya uchaguzi huo
Makonda ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kinondoni pamoja na wenyeviti  wa serikali za mitaa, wagombea wa ngazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani