Kamera za CCTV kufungwa mitaani Z’bar
MAENEO mbalimbali visiwani Zanzibar, yamepangwa kuwekwa kamera za CCTV, kukabili matukio ya uhalifu. Waziri wa Habari, Utangazaji, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk amesema mchakato wa utafiti wa kuweka kamera hizo, umekamilika na kipaumbele ni eneo la Mji Mkongwe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Wafanyabiashara watakiwa kufunga kamera za CCTV
WAFANYA BIASHARA wakubwa wa hoteli na maduka nchini wametakiwa kufunga kamera za CCTV kwenye biashara zao ili unapotokea uhalifu wahusika waweze kubainika mara moja na kukamatwa kiurahisi bila kusumbua jeshi...
9 years ago
Mwananchi03 Sep
JK : Tutafunga kamera za CCTV kulinda wananchi
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Tuimarishe matumizi ya kamera za CCTV kwa usalama wetu
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOPAL PUNLISHERS IKIWA MITAANI
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Dar kufungwa kamera za matukio
RAIS Jakaya Kikwete, amesema kuanzia Juni mwakani kila kinachofanyika katika jiji la Dar es Salaam kinaonekana katika mitambo itakayokuwapo kila mahali. Alisema kutokana na kufungwa kwa mitambo hiyo waharibifu wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SXO6MdXJoWU/XpTBhZJe8CI/AAAAAAALm3c/RzYzmNIafvQADKXXfeLFnXNfYLbH87ogACLcBGAsYHQ/s72-c/21150352_1540420502667387_2594414460868491274_n.jpg)
TAAnet YAISHAURI SERIKALI BAR NA VILABU VYA POMBE KUFUNGWA WAKATI HUU WA MAPAMBANO NA MARADHI YA COVID-19
Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji pombe kupita kiasi–TAAnet wameishauri serikali kutoa tamko la kufunga bar na klabu zote za pombe ili kudhibiti unywaji wa pombe na kuleta madhara makubwa kwa
binadamu ikiwemo kushusha kinga za mwili.
Hayo yamesemwa na mtandao huo wa TAAnet wakiungana kwa pamoja na serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya korona na kutambuliwa kama covid-19.
Katibu wa TAAnet Gladness...
10 years ago
GPLTAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KUENDELEA KIVINGINE
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Id4ldASBUw8/Vc0L_fdu21I/AAAAAAAHwdg/1yV9gt8Jg10/s72-c/e1.jpg)
libeneke la Muziki mnene bar kwa bar la 93.7 EFM ndani ka kibaha
![](http://4.bp.blogspot.com/-Id4ldASBUw8/Vc0L_fdu21I/AAAAAAAHwdg/1yV9gt8Jg10/s640/e1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-8ggC6IFL3UU/Vc0L_RitzyI/AAAAAAAHwdY/2riYeMqO-t8/s640/e2.jpg)