Wafanyabiashara watakiwa kufunga kamera za CCTV
WAFANYA BIASHARA wakubwa wa hoteli na maduka nchini wametakiwa kufunga kamera za CCTV kwenye biashara zao ili unapotokea uhalifu wahusika waweze kubainika mara moja na kukamatwa kiurahisi bila kusumbua jeshi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Jul
Wafanyabiashara washauriwa kufunga CCTV
WAFANYABIASHARA wameshauriwa kufunga kamera za CCTV katika maeneo yenye biashara kubwa, kusaidia kuzuia na kubaini wahalifu.
9 years ago
Mwananchi03 Sep
JK : Tutafunga kamera za CCTV kulinda wananchi
11 years ago
Habarileo20 Jun
Kamera za CCTV kufungwa mitaani Z’bar
MAENEO mbalimbali visiwani Zanzibar, yamepangwa kuwekwa kamera za CCTV, kukabili matukio ya uhalifu. Waziri wa Habari, Utangazaji, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk amesema mchakato wa utafiti wa kuweka kamera hizo, umekamilika na kipaumbele ni eneo la Mji Mkongwe.
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Tuimarishe matumizi ya kamera za CCTV kwa usalama wetu
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Zanzibar kufunga CCTV kudhibiti uhalifu
10 years ago
Habarileo28 Mar
Wafanyabiashara washinikiza korti kwa kufunga maduka
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja, kufutiwa dhamana na Mahakama na kupelekwa rumande, wafanyabiashara sehemu mbalimbali nchini, wamefunga maduka kushinikiza kuachiwa kwa kiongozi wao.
9 years ago
Habarileo10 Dec
Wafanyabiashara Mbeya watakiwa kutumia benki
WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya wamehimizwa kuacha tabia ya kuhifadhi mamilioni ya fedha majumbani na kwenye maduka yao na badala yake watumie benki zilizopo kuhifadhi.
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wafanyabiashara wadogo watakiwa kuchangamkia fursa
WAFANYABIASHARA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa wanazozipata ili kujiendeleza katika biashara zao kwa lengo la kupanua wigo ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana...