JK- Wakwapuaji dawa yao inakuja
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali inafanyia kazi utaratibu wa kufunga mfumo wa kuona matukio yote yanayoendelea jijini hapa ili kupunguza tatizo la uhalifu.Akizungumza jana katika uzinduzi wa Barabara ya Mwenge-Tegeta, alisema suluhisho la wizi wa miundombinu ya barabara na kukwapua mali za wananchi, linakuja kwa kuwa kila litakalofanyika litaonekana.“Hawa wezi wa miundombinu na ukwapuaji kwa kutumia bodaboda dawa yao inakuja...tunajenga uwezo wa kufahamu kinachotokea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Dec
‘Dawa ya migogoro ya ardhi inakuja’
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema zoezi la usajili wa ardhi linaloendelea nchini ndiyo litakaloipatia ufumbuzi migogoro ya ardhi na kuweza kuwatambua wamiliki halali pamoja na wale wavamizi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzq4hG9vmOMu*uV79MbqsvoODRMt1KiYr3KUOq0NwvBqYT7c26*S*PDeYJd-tNgsTFAYK143Oia6njRssbjFJyfC/taifa.gif?width=650)
Watakaozimia waandaliwa dawa yao
10 years ago
MichuziKAIMU MKURUGENZI BOHARI YA DAWA (MSD), AZUNGUMZIA UFUNGUAJI MADUKA YAO KARIBU NA WANANCHI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tI86ANTEaQA/XuDvGAa3OgI/AAAAAAALtYk/ZnyREOX6pRAEz0vI0WRcj1sx056E6rKrwCLcBGAsYHQ/s72-c/bodaboda.jpg)
WAENDESHA BODABODA KINONDONI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA, WAKWAPUAJI SASA KUKIONA
WAENDESHA wa usafiri Bodaboda wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria katika kutoa huduma hiyo ya kubeba na kusafirisha abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema hayo wakati akizungumza na Michuzi Blog, ambapo amefafanua kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha waendesha bodaboda wanazingatia sheria kwani wale ambao watabainika kukiuka watachukuliwa hatua.
Hata hivyo amesema kwa sasa hali ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-SMaREi8F-VE/VTdksjpG7MI/AAAAAAAAbWc/6PPo7mQ8TK4/s72-c/1.jpg)
Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu ‪
![](http://2.bp.blogspot.com/-SMaREi8F-VE/VTdksjpG7MI/AAAAAAAAbWc/6PPo7mQ8TK4/s640/1.jpg)
Wengine ni Buksh Mohamed,...
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Sheria ya gesi inakuja — Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa kongamano la 19 la mwaka la utafiti liliandaliwa na taasisi ya utafiti nchini REPOA. Rais Kikwete alilisitiza kwamba utafiti nchini kwa wafanyabiashara ndogo ndogo na vijana kwa ajili ya kupambana na umaskini ni umuhimu kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijavyo. Utafiti huo wa REPOA ulijikita katika mabadiliko ya uchumi na kilimo na kujenga mazingira mazuri kwa wafanyabiashara ndogo ndogo na za kati na kupanua wigo wa ajira kwa vijana na...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Lowassa: Awamu ya pili inakuja
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5xkLuW-1tm0/U4gtKlVjoCI/AAAAAAAFmcs/1A0_Jws4L0U/s72-c/unnamed+(1).png)
10 years ago
Mtanzania19 Jan
TMA: Mvua kubwa inakuja
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanznaia (TMA) ,imetoa tahadhari ya kuwapo kwa vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24 kati ya Januari 18 na 20 mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana na mamlaka hiyo, ilisema maeneo yatakayoathirika na mvua hiyo ni pamoja na mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani, Dar es Salaam na Kisiwa cha Unguja.
Taarifa hiyo ilisema hali hiyo inatokana na kuimarika kwa...