Sheria ya gesi inakuja — Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa kongamano la 19 la mwaka la utafiti liliandaliwa na taasisi ya utafiti nchini REPOA. Rais Kikwete alilisitiza kwamba utafiti nchini kwa wafanyabiashara ndogo ndogo na vijana kwa ajili ya kupambana na umaskini ni umuhimu kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijavyo. Utafiti huo wa REPOA ulijikita katika mabadiliko ya uchumi na kilimo na kujenga mazingira mazuri kwa wafanyabiashara ndogo ndogo na za kati na kupanua wigo wa ajira kwa vijana na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo23 Oct
Sheria ya gesi, SWF kufikishwa bungeni
MISWADA miwili, mmoja wa Sheria ya Gesi na ule wa kuanzisha Mfuko wa Kutunza Mapato ya Ziada (SWF), inatarajiwa kuwasilishwa bungeni kwa ajili ya kusomwa kwa mara ya kwanza.
10 years ago
Mtanzania26 Mar
Pinda: Serikali imeandaa sheria ya gesi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeandaa sera, taratibu na sheria madhubuti zitakazosimamia uvunwaji wa gesi nchini.
Pinda alisema hayo Dar es Salaama jana katika mkutano wa 20 wa Taasisi wa Uchumi na Umasikini (REPOA) uliokuwa uanajadili namna gani nchi inaweza kufaidika na matumizi ya gesi.
Alisema katika suala la gesi Serikali imejipanga kuepuka kuingiza watanzania katika machafuko.
“Hii rasilimali ya gesi inaweza kuwa baraka au inaweza kuwa laana...
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Sitta: Sheria ya gesi itadhibiti mikataba mibovu
11 years ago
Habarileo27 Jul
Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja
RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Kikwete afunga mjadala wa gesi
11 years ago
Habarileo22 Jan
Kikwete-Hatuzuii Watanzania kuchimba gesi
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali haina mpango na kamwe haiwezi kuzuia kampuni ya kitanzania au Mtanzania kushiriki utafiti na uchimbaji mafuta na gesi ingawa ni gharama. Pia Rais Kikwete amebainisha kuwa Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha Watanzania bila kujali maeneo na wa kizazi cha sasa na kijacho, wananufaika na rasilimali zote asilia za nchi, kwa kuhakikisha mapato yanayopatikana kutokana na rasilimali hizo yanafikia Watanzania wote.
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE KUZINDUZUA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA



10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME GESI ASILIA KINYEREZI