Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya gesi, SWF kufikishwa bungeni

MISWADA miwili, mmoja wa Sheria ya Gesi na ule wa kuanzisha Mfuko wa Kutunza Mapato ya Ziada (SWF), inatarajiwa kuwasilishwa bungeni kwa ajili ya kusomwa kwa mara ya kwanza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Muswada wa vyombo vya habari kufikishwa bungeni

Juma NkamiaMUSWADA wa Sheria ya Kusimamia Vyombo vya Habari umekamilika baada ya kupitia hatua zote muhimu na unatarajia kufikishwa bungeni wakati wowote mwaka huu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Sheria ya gesi inakuja — Kikwete

unnamed (22)

Rais Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa kongamano la 19 la mwaka la utafiti liliandaliwa na taasisi ya utafiti nchini REPOA. Rais Kikwete alilisitiza kwamba utafiti nchini kwa wafanyabiashara ndogo ndogo na vijana kwa ajili ya kupambana na umaskini ni umuhimu kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijavyo. Utafiti huo wa REPOA ulijikita katika mabadiliko ya uchumi na kilimo na kujenga mazingira mazuri kwa wafanyabiashara ndogo ndogo na za kati na kupanua wigo wa ajira kwa vijana na...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Serikali imeandaa sheria ya gesi

Mizengo-PindaNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeandaa sera, taratibu na sheria madhubuti zitakazosimamia uvunwaji wa gesi nchini.

Pinda alisema hayo Dar es Salaama jana katika mkutano wa 20 wa Taasisi wa Uchumi na Umasikini (REPOA) uliokuwa uanajadili namna gani nchi inaweza kufaidika na matumizi ya gesi.

Alisema katika suala la gesi Serikali imejipanga kuepuka kuingiza watanzania katika machafuko.

“Hii rasilimali ya gesi inaweza kuwa baraka au inaweza kuwa laana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria kuwezesha wazawa kwenye gesi yaja

RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kuandaaa sheria, kanuni na taratibu kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa wazawa katika sekta ya gesi na mafuta....

 

11 years ago

Habarileo

Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta: Sheria ya gesi itadhibiti mikataba mibovu

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema sheria ya gesi inayotarajiwa kufikishwa bungeni mwishoni mwa mwaka huu itakuwa nguzo katika usimamizi wa mikataba yote ya nishati hiyo ili kulinufaisha taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni

SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada sheria ya maafa wawasilishwa bungeni

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Jenista MhagamaSERIKALI imewasilisha bungeni muswada wa sheria ya usimamizi wa maafa ambao unalenga kuanzisha chombo kinachojitegemea ambacho kitashughulikia maafa.

 

10 years ago

GPL

SHERIA YA MATUMIZI YA MTANDAO KUTINGA BUNGENI

Na Elvan Stambuli
‘SARAKASI’ za Mkutano wa 19 wa Bunge la 10 zitaanza leo mjini Dodoma na imeelezwa kuwa ni maalum kwa ajili ya kushughulikia miswada ya sheria ikiwemo Sheria ya Makosa ya Mtandao (The Computer and Cyber Crimes Bill, 2015) na ya vyombo vya habari ambazo tayari zimetinga bungeni. Bunge la jamhuli ya muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani