JK aitaka jumuiya ya kimataifa kutekeleza malengo ya milenia kikamilifu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa malengo ya milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya kuweka malengo mengine duniani.
Rais Kikwete ametoa ushauri huo tarehe 28 Mei,2014 mwanzoni mwa mkutano wa kimataifa unaohusu Afya ya Mama na Mtoto jijini Toronto Canada, ambapo alikuwa akijibu maswali kuhusu matokeo ya malengo ya milenia kuelekea mwisho wa muda wa kuyatekeleza mwakani 2015.
“Tukamilishe...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi29 May
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Malengo ya Milenia:TZ
11 years ago
Habarileo09 Jan
SMZ yavuka malengo ya milenia
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar tayari imesema imefanikiwa kuyafikia Malengo ya Milenia ya kuimarisha na kusambaza huduma za Elimu hadi vijijini ambapo kwa sasa hakuna mwanafunzi anayetembea kilomita nne kutafuta elimu.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Wadau wakosoa Malengo ya Milenia
10 years ago
Mwananchi08 Jun
MAONI: Umisseta itumike kikamilifu kutimiza malengo yaliyokusudiwa
11 years ago
Habarileo30 May
JK ataka Malengo ya Milenia kuendelea kutekelezwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa Malengo ya Milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya kuweka malengo mengine duniani.
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Tanzania yajivunia utekelezaji malengo ya milenia
11 years ago
Mwananchi08 Mar
SIKU YA WANAWAKE: Malengo ya milenia yamefikiwa?
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Tanzania yashindwa kufikia malengo ya milenia