JK akemea udhaifu, woga wa viongozi
RAIS Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuacha udhaifu na woga kwa kushindwa kusimamia kikamilifu sheria za utunzaji wa mazingira katika milima ya Uluguru.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bLf6taEHR2E/U_hU9fhazgI/AAAAAAAGBnU/_nRKy3-KaYE/s72-c/u10.jpg)
Rais Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji morogoro, awataka viongozi waache woga katika kusimamia sheria
![](http://2.bp.blogspot.com/-bLf6taEHR2E/U_hU9fhazgI/AAAAAAAGBnU/_nRKy3-KaYE/s1600/u10.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DizsFs4igeI/U_hVYYbxHcI/AAAAAAAGBnc/m09Z4afSpJw/s1600/u12.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iP2mKrWAGnM/U_hXrlAE8iI/AAAAAAAGBpc/18UkHjE6C-A/s1600/u26.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-kPm-iNPMWIs/U_hX3W0HFPI/AAAAAAAGBps/G5uVS_t2grM/s1600/u27.jpg)
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Wanasiasa wetu na woga wa mabadiliko
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
JK: Acheni woga wa kusimamia sheria
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuacha woga na ulegevu katika kusimamia sheria za kulinda mazingira na vyanzo vya maji ambavyo ni namna ya uhakika ya kuwawezesha wananchi kuendelea kupata...
10 years ago
Habarileo03 Oct
Kinana- Makada CCM acheni woga
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wanaCCM kuacha woga na unyonge kwani yeye ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kishindo katika nafasi zote.
11 years ago
Mwananchi04 Apr
‘Uzembe, woga vyanzo vya umaskini’
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Wana CCM watakiwa kuacha woga
MUASISI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Leo Lwekamwa, ameibuka na kutoa maoni yake kuhusu muundo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasimu ya pili ya Katiba, kwa kuwataka wanachama wa...
10 years ago
Habarileo26 Dec
‘Watanzania acheni woga, tendeni haki’
VIONGOZI wa dini wamewataka Watanzania kutambua kuwa mwaka ujao wa 2015, ni mwaka uliojaa masuala mazito ya kitaifa, hivyo ni wajibu wao kushiriki kikamilifu, kuacha woga na kutenda haki.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Naibu waziri awataka wanawake kuacha woga
11 years ago
Mwananchi26 Mar
DIRA: Kikwete na woga wa kufanya uamuzi mgumu