JK amaliza taratibu za matibabu
RAIS Jakaya Kikwete aliyefanyiwa upasuaji wa tezi dume katika Hospitali ya Johns Hopkins Marekani hivi karibuni, jana alimaliza taratibu za matibabu huku afya yake ikionekana kuimarika zaidi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QNVCsyQ1SaE/Vg40FzsyDSI/AAAAAAAH8RU/XcFC11jC9xE/s72-c/IMG_0753.jpg)
9 years ago
Habarileo15 Oct
Vijana hawajui taratibu za uchaguzi
LICHA ya vijana na wanawake wengi kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu, imebainika wagombea wengi hawajui utaratibu wa uchaguzi na mbinu mkakati za kuwaletea ushindi.
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Monalisa: Taratibu tunatoboa kimataifa
Muigizaji wa filamu hapa Bongo, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa, amesema kuwa milango ya kufanya kazi za filamu kimataifa imeanza kufunguka, akiwa tayari na project aliyofanya na timu kutoka Marekani, Daddy's Wedding itakayotoka Februari 14.
Monalisa amesema kuwa, mbali na kazi hii, ana project nyingine na timu kutoka UK kati ya nyingine ambazo zinaonesha kuwa taratibu sanaa hii imeanza kuvuka mipaka kuelekea kule kunakotakikana,.
Vilevile Star huyu wa filamu akaelezea matamanio yake ya...
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Uachishaji kazi na taratibu zake
UTARATIBU wa kuajiri na kuachisha kazi umetolewa na kuonyeshwa katika sheria mbalimbali hapa nchini. Miongoni mwa sheria hizo ni Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya Mwaka 2004 (Na. 6...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Uachishaji kazi na taratibu zake — (2)
WIKI iliyopita nilisema kwamba kuna baadhi ya waajiri huajiri na kuachisha kazi au kufukuza wafanyakazi wao bila kufuata utaratibu uliowekwa katika sheria za kazi katika Sheria ya Ajira na Mahusiano...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ohmiyP-qzCu9IYLVajapuuKRB7BUgoBrVqqOIcHM-wKQz5N6wR-v*J6Jq51S-cYP-qmelV08DzOMCE3TnhRQhCWZ70EW0Z1Z/jktezidume.jpg?width=750)
Taratibu za Tiba za Rais zakamilika
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Yanga mpya inavyojengwa taratibu
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Taratibu za kutatua migogoro ya kikazi — 2
KWA wasomaji wapya taratibu zilizowekwa na Sheria ya Ajira ya mwaka 1955; Sheria ya Usalama Kazini ya mwaka 1964; Sheria ya Mahakama ya Kazi ya mwaka 1967; Sheria ya Taasisi...
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Serikali: NCCR Mageuzi fuateni taratibu