Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana hawajui taratibu za uchaguzi

LICHA ya vijana na wanawake wengi kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu, imebainika wagombea wengi hawajui utaratibu wa uchaguzi na mbinu mkakati za kuwaletea ushindi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!

SAM_0040

baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko 

Na.Jumbe Ismailly.

[Ikungi-SINGIDA] Mkuu  wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kukemea vurugu na uvunjifu wa taratibu na sheria za uchaguzi

Mhe.-Bahame-Nyanduga-1

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Nyanduga.

Tamko La THBUB Kukemea Vurugu Na Uvunjifu Wa Taratibu Na Sheria 

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI MKUU MAANDALIZI KANDA YA ZIWA YAENDELEA VIZURI, Wasimamizi waaswa kuzingatia Sheria, kanuni na taratibu

Mwanasheria wa tume ya uchaguzi Bw.Mtibora Seleman akifafanua jambo wakati wa semina hiyo.Wanasemina wakifatilia kwa karibu mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.Wanasemina ya masuala ya Uchaguzi kanda ya ziwa wakiwa darasani.Msisitizo kutoka kwa mwanasheria.Bi. Jessica Mongi kutoka tume ya uchaguzi hapa akionesha mfano wa utaratibu wa upigaji kura utakavyokuwa.
Imefahamika kwamba maandalizi muhimu ya uchaguzi mkuu kwa mikoa ya kanda ya ziwa yanaendelea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kero za vijana na Uchaguzi Tanzania

Kuna matatizo mbalimbali yanayowakumba vijana waliojiajiri kwenye biashara ndogondogo.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu ya uchaguzi inahitajika kwa vijana

HUU ni mwaka wa uchaguzi, ifikapo mwezi wa nane nchi itakuwa katika harakati za kutafutwa rais wa awamu ya tano kurithi kiti cha Rais Jakaya Kikwete.

Mbali ya nafasi ya rais, nafasi nyingine zitakazowaniwa ni Wabunge na Madiwani kujaza nafasi zinazoachwa au kupigania nafasi moja katika majimbo au kata.

Lakini Watanzania wengi ambao wanaaminiwa kupiga kura ili kupatikana maamuzi ya mwisho ya kuwaweka madarakani viongozi hao wanashindwa kutimiza wajibu wao wa kushiriki kupiga...

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana wasijisahau katika uchaguzi mkuu

Jana ilikuwa Siku ya Kimataifa ya Vijana, kauli mbiu ya mwaka huu ni ‘Vijana kushiriki ngazi zote za uongozi’, katika maadhimisho ya siku hii yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, waziri mwenye dhamana na vijana Dk Fenella Mukangara kwenye hotuba yake aliwahimiza washiriki kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni ya wasanii kuhusu vijana na uchaguzi 2015

Kampeni ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya inayoitwa ‘Tuonane Januari’ inazidi kupamba moto na wiki hii jumla ya wasanii 10 watapanda jukwaa moja jijini Mwanza kwa kazi moja tu, kuwaambia vijana wenzao kushiriki katika zoezi la kujiandikisha daftari la wapiga ili kuleta mabadiliko katika uchaguzi wa mkuu ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Dovutwa: Vijana msipigane kwa sababu ya uchaguzi

MGOMBEA urais kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amewataka vijana kuacha kupigana kwa ajili ya uchaguzi ila mapambano yao wayaelekeze katika kupigania ardhi inayoporwa na kuwaacha maskini.

 

9 years ago

Dewji Blog

Uchaguzi Mkuu 2015 na changamoto kwa Wanawake na Vijana

Pichani juu ni baadhi ya viongozi na wajumbe muhimu katika Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi ukizungumza na vyombo vya habari kuainisha changamoto wanazokumbana nao wanawake na usawa kwenye siasa.

Pichani juu ni baadhi ya viongozi na wajumbe muhimu katika Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi ukizungumza na vyombo vya habari kuainisha changamoto wanazokumbana nao wanawake na usawa kwenye siasa.

Kulia ni Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (sasa ni Rais wa Tanzania) akihutubia katika mikutano yake ya kampeni 2015.

Kulia ni Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (sasa ni Rais wa Tanzania) akihutubia katika mikutano yake ya kampeni 2015.

UCHAGUZI Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 uliokuwa na historia ya pekee kiushindani umemalizika tangu Oktoba 25, 2015....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani