JK amteua Ndugu Francis M. Mwakapalila kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Francis M. Mwakapalila (pichani) kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali kuanzia juzi, Alhamisi, Oktoba 1 , 2015.
Ndugu Mwakapalila anachukua nafasi ya Bibi Mwanaidi Mtanda ambaye amestaafu kazi kwa mujibu wa sheria.
Kabla ya uteuzi wake kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, Ndugu Mwakapalila alikuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-G2YXJbs_Qzo/VKg6J8qHYyI/AAAAAAAG7D8/JfC_CISRVhQ/s72-c/0L7C3310.jpg)
Rais amteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya
![](http://3.bp.blogspot.com/-G2YXJbs_Qzo/VKg6J8qHYyI/AAAAAAAG7D8/JfC_CISRVhQ/s1600/0L7C3310.jpg)
Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaFuz0VbqQXVmJ4Z645sXtJo1RJlL02LhRDixFgYpIpQhtu-F*lHR3HrgvCdmLtf3cZUoLcyDj2k5lHs*9eVgQME/george.jpg)
RAIS KIKWETE AMTEUA GEORGE MCHECHE MASAJU KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ShOjZAov1Vk/XlfXIrZARBI/AAAAAAACzlQ/_Fl5VNO_fOkySYF5BVCMHNaic0c4nx4IACLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana...
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Magufuli amteua Majaliwa kuwa waziri mkuu
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Kikwete amteua Mwandosya kuwa Mkuu wa Chuo Must
9 years ago
Mwananchi19 Nov
JPM amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu
9 years ago
CCM Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-g5jzVV9S_5Y/Vk11kb7l8uI/AAAAAAAA1Ow/G1Wp2mjbNg0/s72-c/IMG_20151119_100418.jpg)
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Rais amteua Bw. Mwaseba kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Lusekelo Mwaseba (pichani) kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam, leo, Jumatano, Oktoba Mosi, 2014, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, imesema kuwa uteuzi huo unaanza leo.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Mwaseba alikuwa Kamishna wa Uchunguzi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya...