Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK amwandalia njia safi mrithi wake

MRITHI wa Rais Jakaya Kikwete, atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, ameanza kuandaliwa makao yake Ikulu, yatakayomwezesha si tu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania tajiri, bali pia kuanza kazi bila viporo vya miradi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Nne.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

TPDC latoa Sh. Mil. 10 kuwezesha Upatikanaji Maji Safi Njia Nne

Shirika la Maendeleo la Petroli TPDC limetoa shilingi milioni kumi za kuwezesha upatikanaji wa maji safi kwenye kijiji cha Njia Nne kinachopitiwa na bomba la gesi.

Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Abdallah Kihato ameagiza mradi huo kutotekelezwa kisiasa akiahidi kuchukua hatua kali dhidi ya matumizi yasiyo ya muhimu ya fedha hizo.

Kijiji cha Niia Nne kinapitiwa na mradi wa bomba la gesi linalotoka Mtwara hadi Dar es Salaam kwa kilomita nne.

Mkuu wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani ameonya kuhusiana...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndesamburo amtangaza mrithi wake Moshi Mjini

Mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo, juzi alifanya tukio la aina yake pale alipomtangaza Meya wa Manispaa ya Moshi, Jaffar Michael kuwa ndiye atakayerithi mikoba yake.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA AWAACHA WAUMINI WAKE NJIA PANDA

Erick Evarist
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewaacha waumini wake njia panda kufuatia kauli yake ya kuwataka wamsindikize Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati jijini Dar, jana alipokwenda kuhojiwa huku Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akiwa ametoa tamko la kuzuia waumini hao kukusanyika kituoni hapo. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Gwajima aliyetoa...

 

11 years ago

GPL

MONALISA AMWANDALIA TYSON SAPRAIZI

Stori: Chande Abdallah STAA wa Bongo Movie, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amefunguka kuwa bado anamkumbuka sana aliyewahi kuwa mumewe, marehemu George Tyson hivyo atafanya kitu kwa ajili ya kumuenzi. Staa wa Bongo Movie, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Akizungumza na mwandishi wetu siku ya Arobaini ya Tyson, Monalisa alisema daima ataendelea kumkumbuka na kumuombea Tyson na ameona kuna umuhimu wa kufanya kitu...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMWANDALIA ZAWADI MAMA YAKE

Diamond akiwa na mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra'. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia video zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra' aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond aliandika hivi:

 

9 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE NJIA NYEUPE UBUNGE WAPINZANI WAKE WAINGIA MITINI

Deo  Filikunjombe (CCM)
Na  matukiodaimaBlog Ludewa ALIYEKUWA  mbunge   wa  jimbo la  Ludewa  Deo  Filikunjombe (CCM)  amepita  bila kupingwa  baada ya  mgombea  wa chama  cha Demokrasia na maendeleo (chadema) Barthomew Mkinga  kushindwa  kutimiza Masharti na Taratibu za Ujazaji wa Fomu.
Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Ludewa Bw  Wiliam Waziri alisema  jana   kuwa Mgombea wa Chadema ameshindwa kutimiza taratibu za ujazaji wa fomu hizo hivyo kukosa sifa ya kuwa Mgombea wa Ubunge...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Harmonize autafuta ustaa kwa njia alizopitia bosi wake Diamond?

12317459_411872465678262_2113634085_n

Tunajua kuwa Diamond ni msanii mwenye kipaji, anayejituma na nidhamu yake ya kazi inaweza kuhamisha milima, lakini hakuna anayeweza kubisha kuwa uhusiano wake na wasichana maarufu ulimsaidia kumpa jina.

11939678_1015510408471958_1941126011_n

Jacqueline Wolper, Wema Sepetu, Jokate, Zari na wengine ambao hatukuwahi kuthibitisha, wamelijenga zaidi jina lake, na of course, yeye pia amewapa fursa hiyo pia.

Inaonekana kuwa Harmonize anaanza kutumia njia za bosi wake pia kutafuta tobo.

12317459_411872465678262_2113634085_n

Hivi karibuni muimbaji huyo wa Aiyola amekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amwandalia Bwana joe Ricketts Chakula cha Usiku

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Bwana Joe Ricketts ambaye ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Opportunity Education Foundation ya Marekani.Rais Kikwete alimwandalia mgeni wake chakula cha usiku. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipa zawadi ya kinyago cha mpingo Bwana Joe Ricketts wakati wa chakula cha usiku alichomwandalia ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Bwana Ricketts amezifadhili shule kadhaa hapa nchini kwa teknolojia ya teknohama kwa kuzipatia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani