Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awasafisha mawaziri waliotimuliwa na Bunge

>Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye Ikulu imewasafisha mawaziri wanne walioshinikizwa na Bunge kujiuzulu kutokana na kuhusishwa na sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini waliohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbunge Kafulila ‘awasafisha’ maaskofu

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ‘amewasafisha’ viongozi wa dini waliotajwa kupokea mgawo wa fedha za escrow, akisema kuwa hapakuwa na namna viongozi hao wangesaidia upatikanaji wa fedha hizo kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

11 years ago

Habarileo

Waliotimuliwa Maliasili warejeshwa kazini

VIGOGO wa Wizara ya Maliasili na Utalii, waliotimuliwa kazi hivi karibuni na Waziri Lazaro Nyalandu, wamerejeshwa kazini.

 

10 years ago

Mtanzania

Mawaziri wakwamisha Bunge la Katiba

Bunge

Bunge

Esther Mbussi na Fredy Azzah, Dodoma

WAKATI vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vikiendelea mjini Dodoma, uamuzi wa kamati umeshindwa kuafikiwa, MTANZANIA limebaini.

Kutokana na hali hiyo, idadi kubwa ya wajumbe kutoka Tanzania bara wengi wao wakiwa mawaziri, hawahudhurii vikao vya kamati vinavyoendelea.

Mbali na wajumbe hao, imebainika pia zaidi ya wajumbe 80 ambao hawatoki kwenye kundi linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) hawajaripoti kwenye Bunge hilo tangu lilipoanza...

 

11 years ago

Habarileo

Machinga waliotimuliwa Kariakoo, Mbagala warejea

LICHA ya kuondolewa kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa jijini Dar es Salaam, wafanyabiashara waliokuwa wakifanya shughuli zao katika maeneo hayo, wameonekana kurudi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliotimuliwa na Mwakyembe wang’ang’aniwa

SIKU moja baada ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kuwatimua wafanyakazi 13 kutoka wizara tatu tofauti, waliokuwa wakifanya kazi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), mawaziri...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yabana mawaziri Bunge Maalum

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewabana mawaziri na wabunge wake wasiohudhuria shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, KAMISHNA TRA WALIPOTEMBELEA SHULE YA WASICHANA BUNGE JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi kabla ya kutembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kushoto ni Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani