Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Machinga waliotimuliwa Kariakoo, Mbagala warejea

LICHA ya kuondolewa kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa jijini Dar es Salaam, wafanyabiashara waliokuwa wakifanya shughuli zao katika maeneo hayo, wameonekana kurudi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Libeneke jipya la habari za Kariakoo ‘Kariakoo Digital’

Screen-Shot-2014-08-20-at-9.10.20-AM

Naomba kutambulisha kwenu tovuti mpya ya  www.kariakootz.com inayofahamika kama Kariakoo Digital Ambayo imejikita katika kukusanya orodha ya maduka ya wafanyabiashara wa Kariakoo pamoja na bidhaa wanazouza, mawasiliano yao na mitaa wanayopatikana na kuyaweka sehemu moja ili kukupa urahisi wa kutafuta bidhaa unayohitaji.

Sasa unawaweza kuokoa muda na pesa zako kwa kutumia tovuti hii mpya ya www.kariakootz.com kupata orodha ya maduka mengi yanayouza bidhaa kariakoo kisha unaweza kuwasiliana...

 

10 years ago

Mwananchi

JK awasafisha mawaziri waliotimuliwa na Bunge

>Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye Ikulu imewasafisha mawaziri wanne walioshinikizwa na Bunge kujiuzulu kutokana na kuhusishwa na sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini waliohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

11 years ago

Habarileo

Waliotimuliwa Maliasili warejeshwa kazini

VIGOGO wa Wizara ya Maliasili na Utalii, waliotimuliwa kazi hivi karibuni na Waziri Lazaro Nyalandu, wamerejeshwa kazini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliotimuliwa na Mwakyembe wang’ang’aniwa

SIKU moja baada ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kuwatimua wafanyakazi 13 kutoka wizara tatu tofauti, waliokuwa wakifanya kazi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), mawaziri...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hatujengi Machinga Complex’

Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam imesema haina mpango wa kujenga majengo makubwa ya biashara kama Machinga Complex, na badala yake iko kwenye mkakati wa kuanzisha vituo vidogo vya wafanyabiashara wadogo katika kila kituo cha daladala.

 

9 years ago

Habarileo

Utulivu warejea Z’bar

HALI ya utulivu imerudi kama kawaida katika mitaa ya Mji wa Unguja huku wananchi wakifanya shughuli zao za kila siku za maisha, ikiwemo biashara baada ya kumalizika kwa siku tatu za joto la kisiasa la Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usafiri Kivukoni warejea

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesema kuanzia leo usafiri wa mabasi ya kwenda Kivukoni na Mnazi Mmoja unaanza rasmi. Akizungumza na Tanzania Daima jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Waliokuwa Old Trafford warejea

>Washindi wa awamu ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mimi ni Bingwa wamerejea nchini wakitokea England waliokuwenda kushuhudia mpambano ya Ligi Kuu ya nchi hiyo kati ya Manchester United na Cardiff City kwenye Uwanja wa Old Trafford.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani