Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Deni PSPF kushughulikiwa

RAIS Jakaya Kikwete amezindua ghorofa pacha la Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Serikali (PSPF) na kuahidi kushughulikia tatizo la deni la serikali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa jengo hilo la ghorofa 35 jijini Dar es Salaam jana, Kikwete alisema anafahamu changamoto za mifuko ya jamii, ikiwamo PSPF.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mh. Kabaka atembelea Banda la PSPF sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, Mwanachama Mpya, Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto (Katikati), kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji Buhigwe kushughulikiwa

SERIKALI imeliagiza Baraza la Madiwani la Wilaya ya Buhigwe, kuwachukulia hatua watendaji wa halmashauri hiyo walioshindwa kutekekeleza agizo la kupanda miti. Agizo hilo lilitolewa bungeni jana na Waziri Ofisi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawakili wa Ponda kushughulikiwa

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ya kuomba kufutiwa shtaka la kukiuka uamuzi wa mahakama.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urasimu bandarini Mombasa kushughulikiwa

Watumiaji wa bandari ya Mombasa nchini Kenya huenda wakawa na afueni, kufuatia mkataba wa kupunguza urasimu utakaosainiwa leo

 

9 years ago

BBCSwahili

UNHCR yataka wakimbizi kushughulikiwa

Umoja wa mataifa umeelezea masikitiko jinsi mataifa ya bara Ulaya yanavyozingatia sheria zinazohusiana na mipaka yake

 

11 years ago

Mwananchi

Wachungaji wakaidi sasa kushughulikiwa

Uongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania, umetangaza kuwachukulia hatua kali ikiwa ni pamoja na kuwasimamisha wachungaji na wajumbe wote wa halmashauri kuu watakaondelea kukiuka uamuzi wa mkutano mkuu uliofanya mabadiliko ya uongozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumishi wanaofuja mali kushughulikiwa

SERIKALI itaendelea kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa watumishi wanaondelea kufuja mali za umma kinyume cha taratibu zilizopo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawakala waliouza mbegu zisizoota kushughulikiwa

WAMILIKI na mawakala wa makampuni  yaliyouza mbegu za pamba kwa wakulima wilayani Igunga, Tabora wapo mbioni kufikishwa katika vyombo vya sheria kutokana na madai ya  kuwauzia wananchi mbegu zisizoota. Kauli...

 

9 years ago

StarTV

Sekta za ardhi, utawala zatakiwa kushughulikiwa

Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Manyara kimesema katika utekelezaji wa ilani yake kwa kipindi hiki cha Serikali ya awamu ya tano, changamoto kubwa zinazotakiwa kushughulikiwa ziko katika sekta za ardhi na utawala ambazo ndizo zinazolalamikiwa zaidi na wananchi.

Maeneo hayo yanadaiwa kuwa ndiyo kero kubwa zinazochangia wananchi kuiona Serikali haiwathamini.

Kasi hiyo kwa mjibu wa wataalamu inachangia kuwepo kwa changamoto kubwa hasa katika mpango wa matumizi bora ya ardhi yanayoibua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani