Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ingilia kati hujuma hizi uuzwaji wa korosho

Serikali, baada ya kuona ubabaishaji katika ununuzi wa korosho unaofanywa na wanunuzi binafsi, iliamua kuondoa mpango kununua zao hilo moja kwa moja kutoka kwa wakulima vijijini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.

Na Ismail NgayongaMFUKO wa wakfu wa kuendelezazao la Korosho nchini umetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 6 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vitatu vya kubangulia korosho vitakavyojengwa katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga.

Taasisi zitakazojenga viwanda hivyo ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kitivo cha Biashara na Chuo Kikuu  cha Ardhi (ARU).


Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho

1.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...

 

10 years ago

Vijimambo

KWA SISI TULIEKULIA MITAA YA KATI HIZI ZIMETUKUTA SANA

Polisi wanavyoamua kusanyakusanya mitaani nakukuambia mikono kichwani na mashati kufungwa safari kituoni kuingia bure kutoka mfuko wako bongo hiyo kwa sisi wakitaa hizi zimetukumba sana tu jikumbushe na wewe.

 

10 years ago

Bongo Movies

Kati ya Picha Hizi Nne za Mzee Majuto Ipi ni Kali Zaidi?

PICHA ni kumbukumbu muhimu katika maisha, hufurahisha na kuburudisha na wakati mwingine uhudhunisha pia ilimradi tu maisha yanasonga mbele. Leo kutoka kwenye maktaba yetu ya picha, tumekutana hizi picha nne za mwigizaji nguli wa filamu za vichekesho hapa nchini, Amri Athuman'King Majuto' ukipenda muite Mzee Majuto alizopiga na waigizaji hawa wakike, Wema Sepetu, Riyama Ally,Kajala Masanja na Jackline Masawe “Wolper”.

Zote ni nzuri lakini wewe umeipenda ipi?

 

9 years ago

Bongo5

Kunani kati ya Ben Pol na Alikiba? Tweets hizi zazusha utata mkubwa!

Kiba

Kuna tatizo kati ya Ben Pol na Alikiba?

Kiba

Au Ben ameamua kutoa mtazamo wake wa moyoni juu ya hitmaker huyo wa Chekecha? Maswali ni mengi lakini ukweli ni kwamba tweet ya Ben kwa Kiba ina utata mkubwa.

“Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu.. au Haikugharimu?” ameandika Ben Pol.

Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu.. au Haikugharimu?

— Ben Pol (@IamBenPol) December 17, 2015

Well, neno ‘overrated’ ndio kiini cha ujumbe wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani