JK: Miaka 10 inamtosha yeyote Ikulu
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa miaka 10 inatosha kwa kiongozi kukaa Ikulu na kuwataka watumishi kumsaidia mrithi wake atakayechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu Jumapili ijayo kwa ari zaidi ili kuchochea maendeleo ya taifa na kulifanya kuwa la kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Ed0WVEknreM/ViTAewHoabI/AAAAAAAIA3I/JYl9i41w6-o/s72-c/New%2BPicture.png)
MIAKA 10 INATOSHA KWA YEYOTE KUTUMIKIA URAIS — RAIS KIKWETE
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ed0WVEknreM/ViTAewHoabI/AAAAAAAIA3I/JYl9i41w6-o/s1600/New%2BPicture.png)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa miaka 10 ya uongozi inatosha kabisa kwa mkuu wa nchi kufanya mambo mengi na kuwa hahitaji muda zaidi kuweza kumaliza ajenda yake.
Aidha, Rais...
11 years ago
Dewji Blog27 Apr
Hafla ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania yafana Viwanja vya Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki katika sherehe ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa na Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964 hafla hiyo iilifanyika jana kwenye viwanja vya Ikulu na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Seif Ali Idd, Waziri Mkuu Tanzania Mh. Mizengo Pinda na viongozi...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/04/315.jpg)
HAFLA YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA YAFANA VIWANJA VYA IKULU JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi10 Dec
10 years ago
Habarileo15 Jul
Magufuli: Sitaogopa, sitamwonea yeyote
MGOMBEA mteule wa urais kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, Dk John Magufuli na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan jana walipokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa Dar es Salaam, bila kujali itikadi zao za kisiasa.
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Dk Magufuli: Sitaogopa mtu yeyote
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Dk Mwakyembe: Sitamvumilia yeyote TRL
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hatomvumilia kiongozi yeyote wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), atakayetajwa na kamati ndogo iliyoundwa kuchunguza ufisadi ndani ya kampuni hiyo. Dk Mwakyembe aliteua...
9 years ago
Habarileo31 Dec
Serikali yaahidi kutomwonea mfanyabiashara yeyote
SERIKALI imesema haina nia ya kuonea wafanyabiashara, lakini ikaonya itachukua hatua kali za kisheria kwa mawakala wa forodha wasio waaminifu na watakaokiuka taratibu.