MIAKA 10 INATOSHA KWA YEYOTE KUTUMIKIA URAIS — RAIS KIKWETE
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ed0WVEknreM/ViTAewHoabI/AAAAAAAIA3I/JYl9i41w6-o/s72-c/New%2BPicture.png)
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS![](http://1.bp.blogspot.com/-Ed0WVEknreM/ViTAewHoabI/AAAAAAAIA3I/JYl9i41w6-o/s1600/New%2BPicture.png)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa miaka 10 ya uongozi inatosha kabisa kwa mkuu wa nchi kufanya mambo mengi na kuwa hahitaji muda zaidi kuweza kumaliza ajenda yake.
Aidha, Rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Oct
Kikwete: Miaka 10 inatosha
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa miaka 10 ya uongozi, inatosha kwa mkuu wa nchi kufanya mambo mengi na kuwa hahitaji muda zaidi kuweza kumaliza ajenda yake. Aidha, Rais Kikwete amewataka watumishi wa Ikulu, kumsaidia Rais ajaye hata kwa ari na nguvu zaidi kuliko hata walimvyosaidia yeye katika miaka yake yote 10 ya uongozi wake.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oU_EdyLSXU8/VnMRrop7uiI/AAAAAAAINKM/oIz9IctoBds/s72-c/51bd7d1d-3b49-4631-8d4c-6ba5a0fd3c87.jpg)
Raia wanne wa China wahukumiwa kutumikia miaka 20 jela kila mmoja kwa Uhujumu uchumi mkoani Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-oU_EdyLSXU8/VnMRrop7uiI/AAAAAAAINKM/oIz9IctoBds/s640/51bd7d1d-3b49-4631-8d4c-6ba5a0fd3c87.jpg)
Washatkiwa wanne wa China wakipanda karandinga baada ya kuhukumiwa kutumikia jela miaka 20 kila mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Zaidi ya shilingi bilioni 10 baada ya kukutwa na makosa matatu ya kuhujumu uchumi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-XuLg6CxUePA/VnMRuTlLcqI/AAAAAAAINKk/fFIfOSEFppY/s640/ndovu.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-A7iUsl_b1e8/VnMSFW5pJzI/AAAAAAAINKs/AD5xUX0K2bM/s640/ddc07c45-ec55-4001-937e-6015ed59afe3.jpg)
11 years ago
Mwananchi01 Jun
‘Miaka 50 ya Muungano inatosha kufanya mabadiliko’
11 years ago
Michuzi11 Jul
MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KWA TIKETI YA FRELIMO AKUTANA NA RAIS KIKWETE
![](https://4.bp.blogspot.com/-495iYNZsaHw/U7_-WCu_E0I/AAAAAAAAn-k/o7I_O6g6xLA/s1600/1.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-3L9QGfMhup0/U7_-YigraGI/AAAAAAAAn-s/z8dW0HLucak/s1600/2.jpg)
10 years ago
VijimamboRais Kikwete ampongeza Mzee Mwinyi kwa kutimiza miaka 90
Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza umri wa miaka 90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Eq2lkY_Yvws/VdSi1Ts1DwI/AAAAAAAHyPw/wgy4TWqSkLc/s72-c/c1.jpg)
RAIS KIKWETE AMTAMBULISHA MGOMBEA URAIS WA CCM KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-Eq2lkY_Yvws/VdSi1Ts1DwI/AAAAAAAHyPw/wgy4TWqSkLc/s640/c1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4gVNWoyjshA/VdSi1XH_NNI/AAAAAAAHyPs/O_sNK0oap_c/s640/c2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jg5NDQLt6tg/VdSi1bgq_xI/AAAAAAAHyP0/zA47wg-USfs/s640/c3.jpg)
9 years ago
Dewji Blog08 Sep
Rais Kikwete alipotoa pole kwa majeruhi waliokanyagana wakati wa mkutano wa kampeni za urais Morogoro
![](http://4.bp.blogspot.com/-zvwSGnncwAQ/Ve2i3WmZzKI/AAAAAAAH3IE/wY6Wb4YUrRA/s640/h1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea katika mlango wa kutokea nje baada ya mkutano wa kampeni wa CCM katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana Septemba 6, 2015. Watu wawili walipoteza maisha, akiwemo mvulana wa miaka 12 aliyejulikana kwa jina la Ramadhani Abdallah na mwanamama Grace George (42), ambapo jumla ya watu 17...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
Rais Kikwete ashuhudia kutawazwa kwa Chifu Mkwawa mpya mwenye umri wa miaka 14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Februari 16, 2015, ameungana na mamia ya waombolezaji kumlaza katika nyumba yake ya milele, Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa.
Aidha, Rais Kikwete ameshuhudia kutawazwa kwa Chifu mpya, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili, kijana wa miaka 14, ambaye yuko darasa la saba na ambaye anachukua nafasi ya baba yake ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015.
Mtwa Adam wa...