Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete: Miaka 10 inatosha

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa miaka 10 ya uongozi, inatosha kwa mkuu wa nchi kufanya mambo mengi na kuwa hahitaji muda zaidi kuweza kumaliza ajenda yake. Aidha, Rais Kikwete amewataka watumishi wa Ikulu, kumsaidia Rais ajaye hata kwa ari na nguvu zaidi kuliko hata walimvyosaidia yeye katika miaka yake yote 10 ya uongozi wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MIAKA 10 INATOSHA KWA YEYOTE KUTUMIKIA URAIS — RAIS KIKWETE

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMiaka 10 inatosha kwa yeyote kutumikia Urais – Rais Kikwete

·        Awataka watumishi wa Ikulu kumsaidia Rais ajaye kwa ari na nguvu zaidi kuliko walivyomsaidia yeye.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa miaka 10 ya uongozi inatosha kabisa kwa mkuu wa nchi kufanya mambo mengi na kuwa hahitaji muda zaidi kuweza kumaliza ajenda yake.


Aidha, Rais...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Miaka 50 ya Muungano inatosha kufanya mabadiliko’

Arusha. Wakati Muungano unatimiza miaka 50 mwaka huu, licha ya kuwa na mafanikio kadhaa una changamoto nyingi ambazo zimeufanya uonekane kuwa unapitia katika kipindi kigumu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wtz tukataee kutishwa juu ya mamuzi yetu,miaka 52 ya utawala wa ccm inatosha .

The post Wtz tukataee kutishwa juu ya mamuzi yetu,miaka 52 ya utawala wa ccm inatosha . appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi: Inatosha kuiongoza BMT

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi amesema kipindi cha miaka mmitatu alichoongoza chombo hicho kinatosha na hawezi kuendelea hata kama Serikali itamwongezea muda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Inatosha kukanusha ama tuchukue hatua?

ARGUE, don’t shout (Jenga hoja, usipige kelele). Hivi ndivyo wasomi wabobezi wanatutaka tufanye katika kujadili masuala. Hatupaswi kutunisha misuri, kupayuka, kutweta na kutukana ama kubishana pasipo kuonesha ushahidi wa vielelezo....

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapenzi sio pesa, roho inatosha

Mapenzi yamtoa msichana wa kihindi katika familia ya kitajiri na kumpeleka kijijini kwa kijana mwafrika Kenya

 

11 years ago

GPL

SIGARA YA KUOKOTA HAIISHI HAMU, TATU ZIKIISHA INATOSHA

JAMANI eeh! Hali ni mbaya hebu basi tujionee huruma mwenye kwani kila anayelia siku zote ushika kichwa chake na hakuna anayepokewa matatizo. Jamani hebu basi tulijue hilo, kwa nini basi tuwe kama wanyama wasiojua zuri na baya. Inaweezekana nimeanza kwa kasi ya ajabu kitu ambacho si kawaida yangu lakini kwa hilo sihitaji kukujulia hali kwa vile mwenyewe hutaki kuijua hali yako.
Jana kaja shostito wangu ambayo biashara zake huwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 10 ya Rais Kikwete: Ateua mawaziri 120

Rais Jakaya Kikwete ambaye alianza kipindi chake cha kuongoza nchi mwaka 2005 kwa kuteua jumla ya mawaziri na manaibu 60, anaondoka akiwa ameteua jumla ya watu 118 kushika nyadhifa hizo, Mwananchi inaweza kukuthibitishia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani