SIGARA YA KUOKOTA HAIISHI HAMU, TATU ZIKIISHA INATOSHA
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXtfIofpJp0T2*kh3tI0ryIFqBclaQqw0J6ZPdUMYIlFEA6DLljdrM1zoc8Ua0rx-OlDiGRClVAvLcHCD1V0aAen/CoupleSleepingPark620x480.jpg)
JAMANI eeh! Hali ni mbaya hebu basi tujionee huruma mwenye kwani kila anayelia siku zote ushika kichwa chake na hakuna anayepokewa matatizo. Jamani hebu basi tulijue hilo, kwa nini basi tuwe kama wanyama wasiojua zuri na baya. Inaweezekana nimeanza kwa kasi ya ajabu kitu ambacho si kawaida yangu lakini kwa hilo sihitaji kukujulia hali kwa vile mwenyewe hutaki kuijua hali yako. Jana kaja shostito wangu ambayo biashara zake huwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo521 Jul
Kampuni ya sigara yaamriwa kumlipa mjane wa mvuta sigara aliyekufa kwa kansa ya mapafu dola bil.26.6!
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Kwa nini migogoro haiishi kati ya Machinga, Serikali?
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Cheka aona ngumi hazilipi, arudi kuokota chupa
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-UfKBFSkoNtk/VIHBQkKvwUI/AAAAAAAARiI/mD-gTDVGAGA/s72-c/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
DIAMOND UHURU PARTY WASHINGTON DC -KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI "TUMEFANIKIWA KUONGEZA NAFASI "20 TU" TAFADHALI ZIKIISHA HIZI NDO BASI !
![](http://4.bp.blogspot.com/-UfKBFSkoNtk/VIHBQkKvwUI/AAAAAAAARiI/mD-gTDVGAGA/s1600/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
9 years ago
Habarileo20 Oct
Kikwete: Miaka 10 inatosha
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa miaka 10 ya uongozi, inatosha kwa mkuu wa nchi kufanya mambo mengi na kuwa hahitaji muda zaidi kuweza kumaliza ajenda yake. Aidha, Rais Kikwete amewataka watumishi wa Ikulu, kumsaidia Rais ajaye hata kwa ari na nguvu zaidi kuliko hata walimvyosaidia yeye katika miaka yake yote 10 ya uongozi wake.
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Malinzi: Inatosha kuiongoza BMT
11 years ago
Mwananchi03 Aug
JUMA NATURE: Nyota wa muziki aliyejisomesha kwa kuokota, kuuza vyuma chakavu na vitumbua
11 years ago
Mwananchi01 Jun
‘Miaka 50 ya Muungano inatosha kufanya mabadiliko’
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Mapenzi sio pesa, roho inatosha