Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘JK vua koti la CCM, vaa la urais’

Rais Jakaya Kikwete ameshauriwa kunusuru mchakato wa kupata Katiba Mpya ili usisimame kwa kuvua koti la Uenyekiti wa CCM na kubaki na Urais ili awaeleze wananchi nini cha kufanya kupata Katiba Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Vua suti ujitwishe debe la dhahabu

Tanzania ina kila aina ya vituko. Muuza nguo anakuletea shati, badala ya kutaja bei anakuuliza “unataka kununua shilingi ngapi?” Una dhahabu mkononi, unapotaka kuiuza mnunuzi haangalii ina ubora au daraja gani. Anakuuliza “dhahabu hii imefanana na ya nani?” Kama inafanana na ile ya Juma utalipwa kama alivyolipwa Juma. Kama imefanana na aliyouza Mr. Smith basi nawe utalipwa kama alivyolipwa Mr. Smith.

 

11 years ago

Habarileo

‘Tanzania Bara itavua koti la Muungano’

MWENYEKITI wa Kamati namba Sita ya Bunge Maalum la Katiba, Stephen Wassira amesema kamati yake imependekeza Tanzania Bara kuvua koti la Muungano, linalodaiwa kuvaliwa ili koti hilo sasa livaliwe na pande zote za Tanzania Bara na Zanzibar, kama njia ya kuimarisha Muungano.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

10 years ago

Vijimambo

DESIGNER KATONA AZINDUA STYLE MPYA YA MAKOTI (ZIP KOTI)


Ni usiku wa kuamkia leo Jumapili ya tarehe 9, August 2015 ambapo 'Regence Hotel' iliopo Mikocheni maeneo ya kwa Nyerere Jijini Dar es salaam kilinuka vilivyo na 'Fashion Show' Iliyo balikiwa jina la 'ZIP KOTI' design mpya kutoka kwa Designer wa mavazi ambaye anachipkia kwa kasi hapa home Tz, Didas Ktona a.k.a Katona ikiwa aliwahi kufanya kazi na mastaa wakubwa kama Mrisho Mpoto, Mzee Yussuf nk. Hata hivyo Fashion Show ilihudhuriwa na Designers na wasanii wakubwa kama Asya Idarous mwigizaji...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

MITINDO: Vaa sare na mwenzi wako

Umewahi kutamani kuwa na mwonekano wa kimavazi unaoendana na mwenza wako na hujui ufanye nini?

 

11 years ago

Mwananchi

Vaa hereni kulingana na umbo lako

Ni jambo la kawaida kwa mrembo au mtu yeyote anayeelewa masuala ya mitindo ya kunakshi vazi lake linapokuwa limekamilika.

 

10 years ago

GPL

SHOGA; VAA RANGI HIZI UMPAGAWISHE MUMEO!

Nimatumaini yangu kila mmoja wenu atakuwa amejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa kielektroniki wa BVR, anasubiri siku ya uchaguzi ifike ili aweze kumchagua kiongozi anayemtaka. Nawapongeza sana kwa kufanikisha zoezi hilo licha ya kugubikwa na changamoto kibao ambazo awali zilikatisha tamaa, hongereni jamani kwa kupata vitambulisho hivyo muhimu, vitunzeni vizuri. Baada ya kusema hayo sasa narejea...

 

10 years ago

Vijimambo

KUMEKUCHA CCM,MKAPA,MWINYI WAJITOSA "KUCHINJA" MAJINA YA WATAKA URAIS CCM,



Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya kamati kuu ya chama mapinduzi CCM akijakutana kwa ajili ya “kufyeka” majina 37 kati ya 42 ya makada wake waliojitokeza na kuwania Urais ndani ya chama hicho,sasa jukumu lingine lawaangukia viongozi wastaafu wa chama hicho.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.Viongozi hao ambao ni marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa ambao wote kwa pamoja wataunda Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kufanya kikao wakati wowote wiki hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani