Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOHARI: NAMSUBIRI MWANAUME WA KUNIFUNGUA KIZAZI

Na Laurent Samatta
PAMOJA na tetesi kuwa nguli wa filamu za Kibongo Blandina Chagula ‘Johari’, ameshindwa kushika mimba, mwenyewe ameamua kufunguka na kudai kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu kuzalishwa. Nguli wa filamu za Kibongo Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na Amani, Johari alisema kuwa endapo akitokea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JOHARI AMWANIKA MWANAUME AMTAKAYE

STAA wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ ameamua kuvunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuweka wazi mwanaume ambaye anahitaji amuoe na sababu inayomfanya asijichanganye na mastaa wenzake. Staa wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’. Katika makala haya Johari amefunguka mengi, msome;  Mwandishi: Kwa nini mara nyingi hupendi kujichanganya na mastaa wenzako? Johari: Ujue nina kampuni ambayo wakati wote...

 

10 years ago

Bongo Movies

JOHARI: Sina Matatizo Ya Kizazi, Nitazaa Nikiolewa

Mwigizaji nguli wa filamu hapa nchini, Blandina Chagula  "Johari" amekanusha tetesi na uvumi kuwa anamatatizo ya kizazi na hivyo hawezi kushika ujauzito,kwa kusema kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu kuzalishwa.

Akizungumza na mwandishi wa GPL, Johari alisema kuwa endapo akitokea tayari yupo ndani ya ndoa anaweza kufanya hivyo lakini kwa maneno ya watu kamwe watasubiri kwani anaamini kizazi chake kipo imara...

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA: NAMSUBIRI BUSHOKE TUFUNGE NDOA


Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini. Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: “Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu,...

 

11 years ago

GPL

JOHARI

Stori: Shakoor Jongo WASANII wa filamu Bongo, waliokuwa katika kamati maalum iliyoundwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ya kukabidhiwa ukamanda wa vijana, juzi walimcheka mwenzao, Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kunyang’anywa bwana. Msanii mkongwe wa filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’ Tukio hilo lilitokea juzi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es...

 

11 years ago

GPL

MASKINI JOHARI!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
MASKINI! Ndiyo neno linaloweza kumtoka mtu yeyote mwenye mapenzi mema na staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye kwa sasa afya yake si ya kuridhisha, Ijumaa lina kila kitu.
Johari ni mgonjwa kwa zaidi ya siku tano sasa akiwa mtu wa kwenda hospitali mara kwa mara kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Blandina Chagula ‘Johari’. TAARIFA ZA...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE JOHARI KUOLEWA!

Stori: Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha KILA jambo na wakati wake! Hatimaye staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ yuko kwenye mwanga wa maisha ya ndoa kufuatia Kiongozi wa Kundi la Mtanashati, Ostaz Juma Namusoma kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi huku akisema ana mpango wa kumuoa kabisa, Risasi Jumamosi linakupa zaidi. Staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Johari Amkana Ray!

Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza  wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.

Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.

Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Johari Bado!

MSANII mahiri katika filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kamwe hatarajii kuolewa na mtu maarufu, kwani ni pasua kichwa na kwake anataka mume asiye na jina kubwa.

Johari amefunguka kwa kusema, wanaume maarufu ni wasumbufu na ana uhakika mkubwa hawawezi kudumu katika ndoa kwani wana mambo mengi hivyo anaitaji mwanaume wa kawaida.

“Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe maarufu, nataka mtu wa kunijali na kunithamini na kingine awe mchapakazi kwa sababu mimi mwenyewe mtafutaji,”...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani