Josephine Slaa awafunda wanawake Dar
MKE wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Josephine Slaa, amesema japo wanawake ndio chanzo cha ukuaji wa uchumi nchini, bado viongozi waliopo madarakani wanawakandamiza. Aliyasema hayo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Mnyika awafunda wanawake Ubungo
NAIBU Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bara, John Mnyika, amesema ushindi mkubwa wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa, utawapa nguvu madiwani na wabunge kutetea...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Mbunifu wa Mitindo Amina Plummer awafunda wanawake wajasiriamali namna ya kujitambua
Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design ambaye pia ni Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer akitoa mada kwenye semina ya kuwawezesha wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi ambayo itamuinua mwanamke wa...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Rage awafunda wachezaji Dar
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’, jana alikutana na wachezaji akiwasihi kujituma ili kupata matokeo mazuri katika vita ya kupigania ubingwa wa Ligi Kuu ya Bara...
10 years ago
VijimamboJOSEPHINE MGAZA AGOMBEA VITI MAALUM TANGA
DHAMIRA YANGU
1. Kuwaunganisha wanawake wote Wa mkoa Wa tanga
2. Kujenga jumuiya imara ya UWT. 3. Kusaidia na kuboresha maisha ya wanawake Wa makundi mbalimbali
4. Kuwa mtetezi na mwakilishi Wa wanawake katika masuala ya kijamii na kiuchumi.
5. Kusaidia uanzishwaji Wa miradi ya kiuchumi ili kupambana na umasikini.
6. Nitakuwa mtumishi wenu na sio kiongozi. Nichague Mimi nikawatumikie kwa manufaa ya wanawake...
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Siku ya wanawake duniani 2020: Kwa picha wanawake walivyosherehekea jijini Dar es salaam
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Dk. Slaa, polisi wapambana Dar
Na Faraja asinde, Dar es salaam,
HALI ya tafrani ilizuka jijini Dar es Salaam jana, baina ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na askari wa Jeshi la Polisi.
Hali hiyo ilijitokeza, baada ya askari polisi kumhoji kiongozi huyo wa chama kikuu cha upinzani nchini, hatua yake ya kufanya mkutano bila kibali.
Tafrani hiyo ambayo iliibuka katika eneo la Tegeta Gereji ilianza saa 11:50 jioni baada ya Dk. Slaa kuwasili katika eneo hilo na kuanza kuhutubia...
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Dk. Slaa, Magufuli kuitikisa Dar
KITENDAWILI cha kumpata mgombea urais wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), huenda kikateguliwa kesho kwa vyama hivyo kumtangaza Dk. Wilbrod Slaa.
Ukawa inaundwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR Mageuzi, Chama cha Wananchi (CUF) na NLD.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya vikao vya Ukawa vilivyofanyika mfululizo mwishoni mwa wiki, pamoja na mnyukano uliokuwapo, hatimaye vyama hivyo vinatarajia kutoka na jina moja la mgombea...
9 years ago
Mwananchi01 Sep
Dk Slaa kuvunja ukimya Dar leo