Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Joto la Uchaguzi Nigeria

Joto la Uchaguzi limeikumba Nigeria siku chache kabla ya upigaji kura.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Joto la uchaguzi lapanda

>Joto la Uchaguzi Mkuu limezidi kupanda, baada ya baadhi ya vyama vya siasa kuanza harakati za kuwatafuta wagombea, wapigakura na mawakala katika majimbo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Joto uchaguzi Serikali za mitaa lapanda

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetangaza ongezeko la idadi ya kata, vijiji, mitaa na vitongoji nchini vitakavyotumika kwa ajili ya uchaguzi serikali za mitaa, huku hatua hiyo ikiibua hoja miongoni mwa wanasiasa na wasomi.

 

9 years ago

Bongo Movies

Joto la Uchaguzi la Sababisha JB Kuomba Asitoe Filamu Kipindi Hiki

Muongozaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo , Jacob Stephen ‘JB’ amewaomba wadau  wa tasnia  ya filamu kuwa filamu yake mpya ya Chungu cha Tatu iliyomshirikisha mwigizaji Wema Sepetu  aitoebaada ya uchaguzi utakaofanyika mwezi ujao jakokuwa kwa sasa ipo tayari hii ni kutokana na upepowa uchaguzi kuvuma kwa kasi na kugawa mashabiki.

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, JB alifunguka

Wadau filam yenu ua Chungu Cha Tatu ipo tayari, lakini kwa sababu joto la uchaguzi liko juu nilikuwa naomba kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

AU yapongeza uchaguzi Nigeria

Mkuu wa Umoja wa Afrika ,Nkosana Dlamini Zuma anasema kuwa uchaguzi wa Muhammadu Buhari ni ukuwaji wa Demokrasi nchini Nigeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Ratiba ya Uchaguzi ni ileile

Serikali ya Nigeria imesema inaendelea na Ratiba ya uchaguzi ile ile

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Nigeria hauna uhakika

Uchaguzi mkuu wa Nigeria huenda ukaakhirishwa iwapo majadiliano ya tume ya uchaguzi na pande husika yataafikiana

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandalizi ya Uchaguzi nchini Nigeria

Maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa Nigeria yamekamilika na mwandishi wetu wa BBC Salim Kikeke yuko huko

 

10 years ago

BBCSwahili

Aomba uchaguzi ucheleweshwe Nigeria

Mshauri wa masuala ya usalama nchini Nigeria ameiambia tume ya uchaguzi nchini humo kuchelewesha uchaguzi wa mwezi ujao

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu waahirishwa Nigeria

Tume ya uchaguzi nchini Nigeria imeahirisha uchaguzi kutokana na sababu za kiusalama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani