Juhudi zaidi zifanyike kudhibiti Kipindupindu
Hadi sasa, watu 36 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa kipindupindu. Idadi hiyo ni watu 33 zaidi ya waliofariki ulipolipuka Agosti 15, jijini Dar es Salaam na wengine 26 walilazwa katika hospitali za Mwananyamala na Sinza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Aug
Moro wajipanga kudhibiti kipindupindu
MKUU wa mkoa wa Morogoro (RC), Dk Rajab Rutengwe, amewataka watendaji wa kata na mitaa katika halmashauri za mkoa huo kuhakikisha kila mmoja anawajibika ipasavyo kusimamia suala la usafi wa mazingira na kuzuia uuzaji holela wa vyakula na matunda.
9 years ago
Habarileo29 Aug
WHO yatoa dawa, fedha kudhibiti kipindupindu
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imepewa msaada wa vitu mbalimbali zikiwemo dawa zenye thamani ya Sh milioni 42.2 pamoja na fedha taslimu milioni 160 kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) ili kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu.
9 years ago
Habarileo04 Jan
Wazuiwa chakula holela kudhibiti kipindupindu
WAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu wametahadharishwa kujikinga na kipindupindu, ugonjwa ulioingia kwa kasi wilayani humo kutoka wilaya jirani ya Kwimba mkoani Mwanza.
10 years ago
Habarileo09 Feb
Kigoma wafunga visima kudhibiti kipindupindu
WAKATI ikielezwa kuwa ugonjwa wa kipindupindu bado unaendelea kuwasumbua wakazi wa mkoa Kigoma, kwa kuendelea kuwepo kwa wagonjwa wapya serikali imeanza kuchukua hatua kukabiliana na hali hiyo, ikiwemo kuvifunga baadhi ya visima vilivyokuwa vikitumiwa na wananchi kwa maji ya majumbani.
9 years ago
StarTV10 Nov
Wizara ya Afya yaonya kufungia biashara kudhibiti kipindupindu.
Wizara ya Afya imeonya kuwa itazifungia biashara zote zisizofuata taratibu za usafi ili kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu ambao tayari umeathiri mikoa 16 tangu ulipuke Agosti mwaka huu.
Wizara imesema itachukua hatua hiyo ikiwemo kuvifunga vilabu vinavyouza vileo, migahawa ya chakula na mama lishe kwa lengo la kuokoa maisha ya wananchi na kutokomeza kipindupindu.
Wizara ya Afya imezungumzia hatua zinazochukuliwa sasa kupambana na kipindupindu, ugonjwa ambao tayari umepoteza maisha ya...
9 years ago
Mtanzania21 Aug
Dar yapiga marufuku vyakula mitaani kudhibiti kipindupindu
Na Waandishi wetu, Dar es Salaam
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amepiga marufuku uuzwaji wa vyakula na matunda katika maeneo yasiyorasmi.
Agizo hilo limelenga kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu unaoendelea kusambaa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo hadi sasa watu watatu wameripotiwa kupoteza maisha.
Sadick alitoa amri hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kusema wagonjwa wa kipindupindu wamefikia 56.
“Wagonjwa...
9 years ago
StarTV17 Dec
Uuzwaji matunda, vyakula maeneo ya wazi ni marurufu nchini ili Kudhibiti Kipindupindu
Serikali imepiga marufuku wafanyabiashara wanaouza matunda yaliyokatwa na chakula katika maeneo ya wazi nchi nzima ili kuzuia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulioenea katika mikoa takribani 21 Tanzania Bara.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa tamko hilo la serikali na kusema ili kuumaliza ugonjwa huo ni lazima maambukizi mapya yadhibitiwe na atakayekiuka agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.
Tamko hilo limetolewa wakati watu elfu 11,257...
11 years ago
Habarileo10 May
Juhudi zaidi zatakiwa kuitangaza Serengeti
JITIHADA za ziada zinahitajika kuitangaza Hifadhi ya Taifa ya Serengeti yenye maajabu saba ya asili duniani tofauti na sasa .
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Nuklia:Iran yatakiwa kuweka juhudi zaidi.