Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMBA LA BBA LILIVYOTEKETEA KWA MOTO

JUMBA lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014 limeteketea kwa moto jana eneo la Sesani Studios jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kuteketea kwa jumba hilo kumesababisha uzinduzi wa shindano hilo kwa mwaka huu kusogezwa mbele tofauti na awali ambapo ulitarajiwa kufanyika Jumapili ijayo ya Septemba 7, mwaka huu. Katika taarifa iliyotolewa na waandaaji wa shindano hilo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jumba la Big Brother Africa lateketea kwa moto, uzinduzi wa msimu mpya waahirishwa

Moto mkubwa umezuka kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots katika studio za Sasani jijini Johannesburg, Afrika Kusini na hivyo kuahirishwa kwa kuanza msimu mpya uliokuwa uzinduliwe Jumapili hii, September 7. Jumba la Big Brother likitekea kwa moto Hakuna aliyeumia kutokana na moto huo uliotokea kwenye studio hizo zilizopo Highlands North jijini Johannesburg Jumannne hii. […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond Platnumz kuingia kwenye jumba la BBA Hotshots leo (Nov 27) kupiga story na washiriki

Diamond Platnumz tayari ametua jijini Johannesburg, Afrika Kusini toka jana, tayari kuhudhuria tuzo za Channel O (CHOAMVA) zinazotarajiwa kutolewa siku ya Jumamosi Nov.29 akiwa anawania vipengele vinne. Staa huyo ambaye ameachia ngoma mpya siku chache zilizopita ‘Ntampata wapi’, ameandika kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamaii kuwa pia leo Alhamisi Nov.27 atapata nafasi ya kuingia […]

 

10 years ago

Bongo5

Uchambuzi: Kwanini tunahisi habari ya moto katika jumba la Big Brother Africa ni ‘kiki’

Ni kweli jumba la Big Brother Africa lililopo jijini Johannesburg, Afrika Kusini limeungua? Ni kweli msimu wa tisa uitwao Hotshots hautazinduliwa Jumapili kama ilivyopangwa? Hayo ni maswali mawili makubwa wapenzi wa shindano hilo maarufu barani Afrika wanaendelea kujiuliza hadi sasa bila kupata majibu. Uhalisia ni kwamba wengi wameiamini habari hii hasa kwakuwa imeandikwa na vyombo […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAGARI TISA YATEKETEZWA KWA MOTO, NYUMBA 16 ZATIWA MOTO MGOGORO WA ENEO LA MALISHO SIHA

Mabaki ya nyumba yaliyoteketezwa kwa moto na wafugaji wa kimasaii wakidai eneo la malisho yao.(picha: Elias Kija, Siha, Kilimanjaro)Jeshi la Polisi likiwa limeimarisha ulinzi katika kijiji cha Miti-Mirefu wilayani Siha. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiliangalia mojawapo la gari la mwekezaji lililochomwa moto katika eneo la Ndarakwai. Mwekezaji wa eneo la Ndarakwai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro Peter Jones akizungumza na wanahabari katika eneo la tukio.Kwa picha na maelezo...

 

10 years ago

GPL

WAGENI BBA HOTSHOTS WAKARIBISHWA KWA BURUDANI

Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Sibongile Mngoma akitoa burudani, juzi Ijumaa, kwenye Ukumbi wa Winnie’s Soul & Jazz kwa ajili ya wageni maalum waliokaribishwa kwenye uzinduzi wa Shoo ya Big Brother HotShots jijini Johannesburg. Shoo hiyo itazinduliwa rasmi leo. (PICHA: JOHN JOSEPH / GPL,…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA BBA HOTSHOTS APOKELEWA KWA KISHINDO JIJINI DAR

Mshindi wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere muda si mrefu.…

 

10 years ago

Bongo5

Dj Tass awafurahisha wabongo kwa kupromote muziki wa nyumbani ndani ya BBA Hotshots

Dj Tass wa Majic Fm na Maisha Magic ya DSTV Ijumaa (Nov. 14) alikuwa official Dj aliyetumbiza kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Mashabiki wengi wameonekana kufurahishwa na uzalendo aliouonesha kwa kupromote zaidi ngoma nyingi za wasanii wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla katika platform ambayo inaonekana kwenye nchi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani