JWTZ haihitaji wanafunzi waliofeli mitihani
Brigedia Jenerali, Kongo Zoma amesema Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linahitaji wasomi wanaoendana na teknolojia iliyopo na wala halina nafasi kwa waliofeli.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 May
11 years ago
BBCSwahili19 May
Wanafunzi kambini Syria kufanya mitihani
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Wanafunzi kidato cha pili waanza mitihani
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
BARAZA lA Mitihani Tanzania (NECTA) limesema wanafunzi 397, 250 wa kidato cha pili wameanza kufanya Mitihani ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) ikijumuisha wavulana 197,452 sawa na asilimia 49.70 na wasichana 199,798 sawa na asilimia 50.30.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde, alisema mitihani hiyo ilianza jana katika shule za sekondari 4,764 za Tanzania bara na itamalizika...
9 years ago
StarTV09 Sep
Hali ya Wanafunzi wa darasa la 7 wanaofanya mitihani yao ya mwisho
Ikiwa ni siku ya kwanza ya watahiniwa wa Darasa la Saba kufanya mtihani wao wa kuhitimu elimu ya msingi nchi nzima, baadhi ya Shule za msingi jijini Dar Es Salaam zimeoneka kuwa katika hali ya utulivu na amani .
Wanafunzi wameendelea na maandalizi ya mtihani huo, wengine wakiwa wamekaa katika makundi wakijadiliana namna walivyoanza mtihani wengi wao wakiwa na matarajio ya kufanza vyema katika mitihani hiyo.
StarTv imepita katika Shule ya Msingi Kinondoni iliyopo katika Manispaa ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo
NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xMJLEImKx4k/XlTuY5qYJjI/AAAAAAAEFvs/QfcYzL-cGLYYKlIDnmH25FVOpeOLLwpggCLcBGAsYHQ/s72-c/2ce1db18-0a21-4149-a7a7-c003444b8bbc.jpg)
ZOLA kuzawadia vifaa vya umeme wanafunzi wataofanya vizuri katika mitihani yao wilayani Kisarawe
Akitangaza ofa hiyo ,Mkurugenzi Mkuu wa...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
MOblog inawatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi leo
Habari watanzania wenzangu, kwa niaba ya MOdewjiblog Team napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya msingi hivi leo.
Mola awape wepesi wa kuelewa vyema mitihani yao.
Elimu bora ndio msingi wa Taifa Letu!
Kila la kheri wanafunzi!
Mungu ibariki Tanzania na wabariki vijana wetu pia.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s72-c/unnamed+(16).jpg)
WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013
![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s1600/unnamed+(16).jpg)
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
IMF yasema Nigeria haihitaji usaidizi