JWTZ yavamia kijiji kuondoa vizuizi barabarani
Vijana wa Jeshi la Wananchi juzi walivamia nyumba za wananchi waliokaribu na barabara kuu ya kutoka Mbeya kwenda Malawi katika wilaya ya Rungwe na kuwataka waamke kuondoa vizuizi vya moto, magogo na mawe vilivyokuwa kwenye barabara hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo28 Oct
JWTZ yavamia kijiji kuondoa vizuizi barabarani
![Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2932222/highRes/1159455/-/maxw/600/-/fwblm4z/-/pic+kamanda-mbeya+-wanajeshi.jpg)
Mbeya / Tukuyu. Vijana wa Jeshi la Wananchi jana walivamia nyumba za wananchi waliokaribu na barabara kuu ya kutoka Mbeya kwenda Malawi katika wilaya ya Rungwe na kuwataka waamke kuondoa vizuizi vya moto, magogo na mawe vilivyokuwa kwenye barabara hiyo.
Kazi hiyo ilifanywa baada ya vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Ukawa kuweka vizuzi vya moto, magogo na mawe kwenye barabara hiyo ikiwa ni ishara ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo la...
11 years ago
GPLSTRABAG WATOA VIZUIZI BARABARANI
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Serikali yajipanga kuondoa ajali za barabarani nchini
Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiongea na waandishi wa Habari(Hawapo pichani) mikakati ya kupunguza ajali za Barabarani ikiwemo kuongeza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kuendelea kununua vifaa vya kisasa vitakavyosaidia kupunguza tatizo la ajali nchini,wakati wa mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiwaonyesha waandishi wa Habari(Hawapo pichani)...
9 years ago
Dewji Blog01 Nov
Mwanajeshi wa JWTZ Zanzibar anusurika kifo katika ajali ya gari kijiji cha Kibele, Zanzibar
Gari hilo kama linavyoonekana baada ya ajali hiyo
Na Mwandishi Wetu.
[Unguja-ZANZIBAR] Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF) imeelezwa kuwa amenusurika katika ajali ya gari iliyotokea mchana wa leo Novemba Mosi, eneo la kijiji cha Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa gari hiyo.
Kwa mujibu wa shuhuda wa taarifa ya tukio hilo: “ Ajali imetokea mchana huu kwenye saa 8.10 ambayo imemhusisha askari wa Jeshi la Ulinzi...
11 years ago
Mwananchi29 May
Vizuizi, mizani mzigo mkubwa kwa wafanyabiashara
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6QzVEOciBno/Uyr6tv8tyaI/AAAAAAACdDE/QrPusb8lDRs/s72-c/UB+4.jpg)
KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-6QzVEOciBno/Uyr6tv8tyaI/AAAAAAACdDE/QrPusb8lDRs/s1600/UB+4.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9QZDqllaCHE/Uyr6t8geP2I/AAAAAAACdDI/utbvAvqj7B4/s1600/UB+5.jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Majambazi yavamia kanisani na kuiba
Na Clarence Chilumba, Ruangwa
WATU watano wamevamia na kuvunja madirisha ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Malolo na kuiba chombo kinachotumika kuhifadhia ekaristi takatifu (TABERNACULO).
Imeelezwa kuwa majambazi hayo yalidhani chombo hicho kimetengenezwa kwa dhahabu.
Tukio hilo lilitokea juzi, saa 8:30 usiku, baada ya majambazi hayo kuvunja madirisha ya kanisa hilo.
Kanisa hilo ni miongoni mwa makanisa makongwe na yenye historia kubwa hapa nchini, ambalo lilijengwa mwaka...
10 years ago
CloudsFM02 Apr
A-Shaabab yavamia tena Kenya
Kundi la Alshabaab wamefanya mashambulizi katika chuo kikuu cha Garissa kasikazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia na maafisa usalama wa Kenya wamethibitisha kuwa watu wawili wamefariki Dunia na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi hayo na wakazi wa eneo hilo wametakiwa kuaa mbali na eneo hilo