Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KABURI LA RECHO LALOA MACHOZI!

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Roho inauma! Kwa mara nyingine, kaburi la aliyekuwa staa wa sinema za Kibongo, Rachel Leo Haule ‘Recho’ (pichani) limeloa machozi ya mastaa wakati wa kusimikwa msalaba baada ya kujengwa na kuonekana la kisasa, Ijumaa Wikienda lilikuwepo. Mchungaji akiongoza ibada ya kubariki na kuutakasa msalaba utakaowekwa kwenye kaburi la marehemu Recho Haule. Katika tukio hilo lililojiri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ODAMA AJENGA KABURI LA RECHO

Stori: Gladness Mallya UPENDO! Shosti mkubwa wa marehemu Recho Haule, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amejitolea kujenga kaburi la rafiki yake huyo aliyefariki mapema mwaka huu. Shosti mkubwa wa marehemu Recho Haule, Jennifer Kyaka ‘Odama’ akilitunza kaburi la aliyekuwa rafiki yake. Akizungumzia tukio hilo, Odama alisema kama rafiki yake kipenzi aliguswa kumfanyia kitendo hicho hivyo akashirikiana na aliyekuwa...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

RECHO: NIMEACHA UTOTO

Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’. Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI YA RECHO INAUMA

Stori: Waandishi Wetu
HUKU makovu ya machungu ya kifo cha msanii wa filamu za Kibongo, Rachel (Sheila) Leo Haule ‘Recho’ yakiwa bado hayajakauka, Risasi Jumamosi linakupa simulizi yenye maumivu kuhusu marehemu huyo. Mchumba wa marehemu Saguda akilia kwa uchungu. Recho alifariki dunia Mei 27, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi...

 

11 years ago

GPL

HUYU RECHO NI TATIZO!

Msanii na Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ akifanya vitu vyake jukwaani. Stori: Mayasa Mariwata na Denis Mtima Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ ametia fora baada ya kutinga kipensi kilichoonesha sawia maungo yake nyeti. ...Akizidi kufanya yake. Ishu hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo, Dar… ...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Recho — Naringa

Hii ni ngoma nyingine kutoka kwa Mwanadada Recho ambayo imetoka hivi karibuni imesambaa katika mitandao mingi Recho anasema hafahamu nani ameivujisha hii ngoma imefanyika katika Studio za Kiri Records ngoma inaitwa “Naringa”

 

10 years ago

Bongo5

I’m still very single — Recho Kizunguzungu

Recho is single and ready to mingle guys. Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Recho amedai kuwa bado hajampata mwanaume anayeweza kumuita wake na ambaye huenda wanaweza kuzaa watoto pamoja. “Bado nipo single, nafanya kazi kwanza, wanaume wapo,” alisema Recho baada ya kicheko kirefu. Recho anaamini kuwa ni rahisi kwa msichana mrembo na staa kama yeye […]

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

KIFO CHA RECHO...

Na Waandishi Wetu
Maskini! Wakati tasnia ya filamu Bongo ikiwa katika majonzi ya kuondokewa na ‘dairekta’ na mwigizaji mkubwa, Adam Phillip Kuambiana (38), pigo lingine limetokea kwa wasanii hao kwa kuondokewa na kichwa kingine, Sheila Haule ‘Recho’ (26).Recho alikutwa na umauti Mei 26, mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar alipokuwa amelazwa baada ya kujifungua kwa oparesheni Mei 25,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani