Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kada CCM atozwa faini ‘buku mbili’

>Kada wa CCM Ahmed Ismail aliyerusha risasi hewani katika ofisi za Chadema wilayani Bariadi amehukumiwa kwenda jela miezi sita au kulipa faini Sh2,000 baada ya kukutwa na hatia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Aliyekamatwa na Tanzanite ya Sh670 milioni atozwa faini

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani wa Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Sh10.5 milioni raia wa India, Anurag Jain (45) baada ya kupatikana na hatia ya kutaka kusafirisha nje madini ya Tanzanite yenye thamani ya Sh670 milioni kinyume cha sheria.

 

10 years ago

StarTV

Jerry Muro atozwa faini ya milioni 5 na TFF.

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyoketi Jumanne tarehe 5 Mei, 2015 imempiga faini ya sh. 5,000,00 (milioni tano), Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Jerry Muro kwa kutoa kauli za chuki, kisirani na uchochezi dhidi ya uongozi wa Bodi ya Ligi (TPLB) nchini na TFF.

 


Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, Jerry Muro alikiri na kujutia kufanya kosa hilo na kudai ilitokana na ugeni wake katika uongozi wa michezo, kwa kuzingatia hilo kamati...

 

10 years ago

GPL

CHID BENZ: ATOZWA FAINI, AAHIDI KUACHA MADAWA YA KULEVYA

Chid Benz (mwenye shati jeupe) baada ya kuachiwa na mahakama. …Akiondoka mahakamani.
…Akielekea kwenye gari…

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

10 years ago

Mwananchi

Kada aionya CCM urais

Zanzibar. Mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar Hassan Mussa Takrima (72) ameionya CCM kuwa itakuwa katika hatari ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu kama kitasimamisha “mgombea mwepesi, asiye na mvuto na asiyekubalika kwa wananchi”.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Mahiga kada wa 25 urais CCM

>Mwanadiplomasia mkongwe nchini, Dk Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais na kuahidi kuimarisha misingi ya Taifa na kutengeneza mwelekeo imara wa nchi kuelekea uchumi wa kipato cha kati.

 

9 years ago

GPL

KADA CCM ASIMULIA ALIVYONUSA KIFO!

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza akiugulia. Makongoro Oging’ na Issa Mnaly AJALI! Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mjumbe wa UVCCM-Mkoa wa Morogoro, Hery Francis Hoza ,32, (pichani) amepata ajali mbaya katikati ya wiki iliyopita na kunusurika kifo. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Kibaha mkoani Pwani ambapo kada huyo alikuwa akitoka Morogoro kuelekea Dar es...

 

9 years ago

Mwananchi

Kada wa CCM amwagiwa Tindikali Tarime

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana Chadema kata ya Sirari na kuhamia chama cha CCM, Weng’ari Mang’era (26) amemwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati wakimpokea mgombea ubunge wa Tarime Vijijini(CCM), Christopher Kangoye  katika uwanja wa Tarafa Sirari Wilayani Tarime.

 

10 years ago

Mtanzania

Kada CCM ampiga katibu wake

NA ELIYA MBONEA, SIMANJIRO
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Kata ya Endiamtu Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Issa Katuga anadaiwa kumpiga ngumi na mateke Katibu wa chama hicho, Salimu Kombo baada ya kumtuhumu kugoma kuidhinisha matumizi ya Sh bilioni moja kwa ajili ya kwenda kulipa madeni.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za CCM za kata hiyo, baada ya Mwenyekiti Katunga kumtuhumu katibu wake kuwa amegoma kuidhinisha fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani