Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila: Mimi si mbunge wa mahakama

MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amekana kuwa mbunge wa mahakama akisema tayari alikwishamaliza tofauti kati yake na chama chake. Desemba 19, 2011 Halmashauri Kuu (NEC) ya NCCR-Mageuzi, alimvua...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Kafulila afungua kesi Mahakama Kuu Tabora

escrowNa Murugwa Thomas, Tabora

ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kupitia Chama cha NCCR – Mageuzi, amefungua kesi Mahakam Kuu Kanda ya Tabora kupinga ushindi wa Hasna Mwillima wa Chama Cha Mapindunzi (CCM), aliyetangazwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

Kafulila amewasilisha pingamizi hilo jana kupitia kwa wakili wake, Daniel Lumenyela, huku akiwa ameambatanisha nakala za fomu za matokeo ya kura ya vituo vyote 382 vya jimbo hilo ambazo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge Kafulila ‘awasafisha’ maaskofu

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ‘amewasafisha’ viongozi wa dini waliotajwa kupokea mgawo wa fedha za escrow, akisema kuwa hapakuwa na namna viongozi hao wangesaidia upatikanaji wa fedha hizo kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

11 years ago

Mwananchi

IPTL yaomba Mahakama Kuu Dar imfunge mdomo Kafulila

Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba itoe amri ya kumfunga mdomo Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David Kafulila.

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM IMETUPILIA MBALI KESI YA IPTL DHIDI YA DAVID KAFULILA


MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...

 

11 years ago

Habarileo

Lema: Mimi Mbunge wa milele Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ametamba kuwa yeye ni Mbunge wa milele katika jimbo hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Kigoma Kusini,mhe david kafulila na jessica kishoa wameremeta mjini uvinza

 Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma,  jana Jumamosi Novemba 22, 2014 Mhe David Kafulila akiwa kanisani  na mai waifu wake wa Jessica Kishoa wakati wa  kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014 Mhe David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao Mhe. Deo Filikujombe...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yamkamua mbunge matunzo ya mtoto

Sheria.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru Mbunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM) kutoa Sh 200,000 kila mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto wake wa kiume, mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, anayedaiwa kumtelekeza.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KAWE ANAKESI YA KUJIBU-MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

Na Karama Kenyunko Michuzi TV MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Mbunge wa Kawe, Halima Mdee anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kwa kutoa maneno ya kuudhi dhidi ya Rais John Magufu anayo kesi ya kujibu.
Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ametoa uamuzi huo leo Mei 28, 2010 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutolewa uamuzi.
Hatua hiyo imekuja baada ya Februari 20, mwaka huu upanda wa mashtaka kufunga ushahidi wao kufuatia mashahidi watatu waliofika mahakamani hapo kutoa ushahidi ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani