Kagame aula tena
Tume ya Uchaguzi nchini Rwanda (NEC) imetangaza matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba ambayo yanaonyesha kuwa asilimia 98.1 ya walipiga kura wametaka katiba ibadilishwe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mtanzania aula AU
Na Mwandishi Maalumu, New York
BRIGEDIA Jenerali Sara Rwambali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ameteuliwa kuwa Mwakilishi Maalumu na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika (AU), Sudan Kusini.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Dk. Nkosanzana Zuma, katika taarifa aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari alisema makazi ya Brigedia Jenerali Sara yatakuwa Juba.
Dk. Nkosanzana amemteua Josephine Charlotte Kala kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kuwa Mwakilishi Maalumu na Mkuu wa Ofisi ya...
10 years ago
Mtanzania07 Nov
Zoka aula rasmi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiwaapisha wakuu wa mikoa, makatibu wakuu wa wizara na makatibu tawala wa mikoa, aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Usalama wa Taifa, Jack Zoka amekula kiapo cha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada.
Sherehe za kuapishwa kwa viongozi hao wapya zilifanyika jana katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.
Zoka aliteuliwa kushika wadhifa wake mpya Septemba 30, mwaka huu wakati wakuu wa mikoa, makatibu wakuu na makatibu tawala wapya walitangazwa...
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Kizuguto aula TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Baraka Kizuguto (pichani) kuwa Ofisa Habari kuanzia Februari 1 mwaka huu.
Kabla ya uteuzi huo, Kizuguto alikuwa Ofisa Habari wa klabu ya Young Africans, nafasi aliyoitumikia kwa miaka miwili.
Kizuguto ana Stashahada ya Juu ya Habari na Mawasiliano kutoka Chuo cha LEARN IT cha Dar es Salaam. Pia ana ujuzi wa kusanifu tovuti, ufundi wa kompyuta na uchambuzi wa mifumo ya kompyuta.
Mei mwaka jana, Kizuguto aliteuliwa na Shirikisho la...
9 years ago
Habarileo25 Aug
Cheka azaliwa upya, aula
BONDIA nyota wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapigana na bondia wa Uingereza, Martin Murray katika pambano maalumu lisilo la ubingwa la uzito wa super middle.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mkurugenzi wa TFF aula Azam FC
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Sebastian Coe aula IAAF
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Leodgar Chila Tenga aula CAF.
10 years ago
Habarileo12 Dec
Dereva wa bodaboda aula kampeni ya SBL
DEREVA wa pikipiki maarufu kama bodaboda, Peter Emmanuel (37) ameibuka mshindi wa pili wa bajaji katika droo ya pili ya kampeni ya Tutoke na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL).
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Irene Uwoya aula viti maalum
NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA
MSANII pekee wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ameibuka kidedea kwenye uteuzi wa wagombea ubunge wa viti maalumu uliokamilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) jana.
Uwoya alipata nafasi hiyo baada ya jina la mtoto wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni mgombea wa CCM katika jimbo la Ubungo, Dk Didas Masaburi, Juliana Masaburi kukatwa.
Mtoto huyo wa Masaburi, alishinda kura za maoni kupitia kundi la Vijana akiwakilisha Mkoa wa Mara lakini baada ya kukatwa nafasi...