Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtanzania aula AU


Na  Mwandishi Maalumu, New  York
BRIGEDIA Jenerali Sara Rwambali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ameteuliwa kuwa Mwakilishi Maalumu na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika (AU), Sudan Kusini.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU,  Dk. Nkosanzana Zuma,  katika taarifa aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari alisema makazi ya Brigedia Jenerali Sara yatakuwa Juba.
Dk. Nkosanzana amemteua Josephine  Charlotte Kala kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kuwa Mwakilishi Maalumu na Mkuu wa Ofisi ya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kagame aula tena

Tume ya Uchaguzi nchini Rwanda (NEC) imetangaza matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba ambayo yanaonyesha kuwa asilimia 98.1 ya walipiga kura wametaka katiba ibadilishwe.

 

10 years ago

Mtanzania

Zoka aula rasmi

Zoka akiapishwa IkuluNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiwaapisha wakuu wa mikoa, makatibu wakuu wa wizara na makatibu tawala wa mikoa,  aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Usalama wa Taifa, Jack Zoka amekula kiapo cha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada.

Sherehe za kuapishwa kwa viongozi hao wapya zilifanyika jana katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.

Zoka aliteuliwa kushika wadhifa wake mpya Septemba 30, mwaka huu wakati wakuu wa mikoa, makatibu wakuu na makatibu tawala wapya walitangazwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kizuguto aula TFF

photo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Baraka Kizuguto (pichani) kuwa Ofisa Habari kuanzia Februari 1 mwaka huu.

Kabla ya uteuzi huo, Kizuguto alikuwa Ofisa Habari wa klabu ya Young Africans, nafasi aliyoitumikia kwa miaka miwili.

Kizuguto ana Stashahada ya Juu ya Habari na Mawasiliano kutoka Chuo cha LEARN IT cha Dar es Salaam. Pia ana ujuzi wa kusanifu tovuti, ufundi wa kompyuta na uchambuzi wa mifumo ya kompyuta.

Mei mwaka jana, Kizuguto aliteuliwa na Shirikisho la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sebastian Coe aula IAAF

Bodi ya Shirikisho la riadha duniani IAAF, imemchagua Sebastian Coe kuwa rais wake mpya.

 

10 years ago

Habarileo

Cheka azaliwa upya, aula

BONDIA nyota wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapigana na bondia wa Uingereza, Martin Murray katika pambano maalumu lisilo la ubingwa la uzito wa super middle.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa TFF aula Azam FC

Aliyekuwa Mkurugenzi wa mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Saad Kawemba ameteuliwa kuwa mtendaji mkuu wa klabu ya Azam.

 

11 years ago

GPL

Kocha aliyetoswa Yanga aula Rwanda

Kocha Luc Eymael. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Luc Eymael ametua jijini Kigali, Rwanda kumalizia mazungumzo ya kujiunga na Rayon Sports ya Rwanda. Eymael, raia wa Ubelgiji, alikuwa mmoja wa makocha waliowania kuifundisha Yanga baada ya kumtimua Ernie Brandts lakini akatoswa mapema na nafasi kuchukuliwa na Hans van Der Pluijm. Akizungumza kutoka Ubelgiji, Eymael alisema alitarajia kutua Kigali, juzi jioni na kumalizia mambo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Leodgar Chila Tenga aula CAF.

Leodgar Tenga kwa amechaguliwa kuendelea kuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF).

 

10 years ago

Mwananchi

Mama Shujaa wa Chakula 2013 aula

Mshindi wa mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula mwaka 2013, Bahati Muriga, amepewa mwaliko wa kuhudhuria mkutano mkuu wa Siku ya Chakula Duniani unaotarajiwa kufanyika Washington DC nchini Marekani, Oktoba 15 na 16.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani