Cheka azaliwa upya, aula
BONDIA nyota wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapigana na bondia wa Uingereza, Martin Murray katika pambano maalumu lisilo la ubingwa la uzito wa super middle.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mtanzania aula AU
Na Mwandishi Maalumu, New York
BRIGEDIA Jenerali Sara Rwambali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ameteuliwa kuwa Mwakilishi Maalumu na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika (AU), Sudan Kusini.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Dk. Nkosanzana Zuma, katika taarifa aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari alisema makazi ya Brigedia Jenerali Sara yatakuwa Juba.
Dk. Nkosanzana amemteua Josephine Charlotte Kala kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kuwa Mwakilishi Maalumu na Mkuu wa Ofisi ya...
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mtoto wa ajabu azaliwa Dar
![Hospitali ya Mwananyamala](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mwananyamala-hospitali.jpg)
Hospitali ya Mwananyamala
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.
Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.
MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.
Inadaiwa mtoto...
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Kiboko mbilikimo azaliwa Australia
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Mtoto mkubwa azaliwa Marekani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0KloqqPy0yP115sLCv4CmO4rg4JWSJxIdBn05il0XN18TfaFu1jMlzmEI8OAW5bJsTQDG9J*BHkeFE6ENB-jY09/11.gif?width=650)
MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Mtoto azaliwa bila pua
10 years ago
Mtanzania07 Nov
Zoka aula rasmi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiwaapisha wakuu wa mikoa, makatibu wakuu wa wizara na makatibu tawala wa mikoa, aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Usalama wa Taifa, Jack Zoka amekula kiapo cha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada.
Sherehe za kuapishwa kwa viongozi hao wapya zilifanyika jana katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.
Zoka aliteuliwa kushika wadhifa wake mpya Septemba 30, mwaka huu wakati wakuu wa mikoa, makatibu wakuu na makatibu tawala wapya walitangazwa...
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Kagame aula tena