Kajala : Serikali Iangalie Wasanii
Staa wa Bongo movie Kajala Masanja ameingia hatua nyingine katika tasnia ya filamu pale ambapo atakuwa msanii wa kwanza kusambaza sinema zake mwenyewe baada ya kuona kuna ukiritimba katika usambazaji , jambo ambalo anaona kama linachelewesha maendeleo.
“Usambazaji ni changamoto kwa wasanii nimeliona hilo baada ya kutengeneza filamu yangu ya Pishu nimeona ni bora nifungue kampuni ya usambazaji ya Kajala Entertainment itaenda kwa wakati na kusambaza kazi zangu,”anasema Kajala.
Staa huyo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Serikali iangalie upya ‘Uwindaji wa Kitalii’
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
TBS iangalie ubora nguo za dukani
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marufuku matumizi ya nguo za ndani za mitumba kutokana na athari zake kiafya kwa watumaji. Kutokana na hatua hiyo ni ishara kuwa shirika hilo...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Serikali kudhibiti wizi haki za wasanii
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imeweka mikakati ya kudhibiti haki za kazi za wasanii wa muziki na filamu za Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni juzi na waziri...
10 years ago
Bongo527 Feb
AT: Wasanii bado tunahitaji support ya serikali
10 years ago
Mwananchi23 Jul
Diamond aishangaa Serikali kwa kutowathamini wasanii
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Lecqw3UI2BM/XsTPWFlMLLI/AAAAAAALq2s/sEO_nD5vhy0DXvtIT3jARyICS6gVvlrsgCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1-3.jpg)
Serikali Yasisitiza Kutoa Ushirikiano kwa Wasanii
![](https://1.bp.blogspot.com/-Lecqw3UI2BM/XsTPWFlMLLI/AAAAAAALq2s/sEO_nD5vhy0DXvtIT3jARyICS6gVvlrsgCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1-3.jpg)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpongeza Msanii wa Filamu Bw. Ezekiel Mwakipageme maarufu kama Soudblack (wa kwanza kushoto) anayefanya kazi za filamu nchini China kwa mpango wake wa kushirikiana na wasanii wenzake watanzania katika kukuza tasnia ya filamu nchini wakati msanii huyo alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/PIX-2-3.jpg)
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/117.jpg)
WASANII WAIOMBA SERIKALI KUUMALIZIA UKUMBI WA BASATA