Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA MASANJA ANYWESHWA SUMU

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. Stori: Shakoor Jongo
STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amejikuta katika hali mbaya kufuatia kunyweshwa sumu na mtu ambaye hakuweza kufahamika mara moja.
Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili iliyopita maeneo ya Tegeta jijini Dar katika Klabu ya Seventy One ambayo alikwenda kujiachia na marafiki zake. Chanzo cha uhakika, kilipenyeza habari kuwa, Kajala alinyweshwa sumu hiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Msikieni Kajala Masanja

STAA wa filamu za Bongo, kajala Masanja amesema kuwa kwa sasa hataki ugomvi na mtu kwani hauwezi kumletea maendeleo katika kazi zake hivyo anaangalia nini afanye ili apate mafanikio kupitia...

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NDIYO KAJALA MASANJA

Mwigizaji Kajala Masanja Wema alisahidia kumnusuru kutumikia kifungo jail lakini sasa uwezi kuamini wawili hawa hawapikiki chungu kimoja unaweza kujifunza nini kutoka kwao?. Au unafikiri ni nini kimesababisha haya yote kutokea?.

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA MASANJA KUFURU!

Stori: Shakoor Jongo
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo,  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake. HABARI MEZANI
Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti...

 

9 years ago

Bongo Movies

Masanja Ajitosa Kumrithi Filikunjombe

Wagombea tisa wakiwemo mdogo wa marehemu Deo Filikunjombe na mchekeshaji Masanja Mkandamizaji wamejitosa kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa, mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Uchaguzi wa kumpata mbunge wa jimbo hilo ulilazimika kuahirishwa baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo kupitia CCM, Deogratius Filikunjombe.

Miongoni mwa waliojitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe na msanii wa...

 

10 years ago

GPL

MASANJA AWABOMOA WEMA, DIAMOND

Stori: Shakoor Jongo.
COMEDIAN mwenye kofia ya uchungaji kwa sasa, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ hivi karibuni aliwabomoa mastaa wapenzi Nasibu Abdul ‘Diamond’  na ubavu wake Wema Sepetu kwa kuwaandikia waraka mzito unaohusiana na maisha yao ya kila siku. Komedian , Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’. Katika waraka huo, aliouweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, Masanja...

 

11 years ago

GPL

MASANJA NI VIZURI UKACHAGUA MOJA!

KWAKO, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’. Naamini u mzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Kwa upande wangu nipo sawa, nakimbizana na maisha. Nina machache ya kukushauri kuhusiana na maisha yako kama staa ambaye kwa sasa umetangaza kuokoka. Kwa maneno mengine ni kwamba, umeondoka kwenye utaifa, upo mikononi mwa Muumba wako.Nimekufahamu kwa kitambo kidogo. Kwangu mimi, wewe ni mmoja wa mastaa wa ukweli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani