KALAMA ‘AMNYOA’ NYWELE BELA
![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnQWJd5V9gD2XpRrlvxV2*4l-SZpGe4nIZWlxHgIwX3S7*q3LawJbAfgkWLWD2fDJTyUdBd81cWSkgoWrx26jJe5/KALAMA.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya MWANADADA anayeunda Kundi la Scorpion Girls,Isabela Mpanda ‘Bela’ amejikuta akinyoa nywele baada ya mpenzi wake wa siku nyingi, Luteni Karama kumtaka afanye hivyo. Mwonekano mpya wa mwanadada anayeunda Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’. Bela kwa sasa anaonekana katika mwonekano wa tofauti kabisa kwani amenyoa na kubaki na nywele fupi tofauti na alivyozoeleka ambapo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-wED3MK7x6-gVFb3OQAz6yQxfveW1CnEU5mqdU6D5c3wxSouP5dbVjCuz5sUprNPTa4aWyLgAZGHNkeosKMGCqG/isabela.jpg)
BELA, KALAMA NDOA YANUKIA
Stori: Gladness Mallya STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Isabela ambaye anatamba na wimbo wa Taratibu alisema ana furaha isiyo na kifani kwani kwa mara ya kwanza tangu aanze uhusiano wa kimapenzi na Karama...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jKMzIjeSyiVoFU*kIN988QrMmglKKIocC4GiuVc56tqK0OA-2fbBFgkxE7rP2k1FIrMyMHDfcUclBpgjblA4RKS/bella.jpg)
BELA: SITAKI TENA NDOA
Na Shani Ramadhani/Uwazi
HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na...
10 years ago
MichuziChristian Bela apagawisha Tabora
10 years ago
Bongo503 Sep
New Music: Hemedy PHD Ft. Bela Combo — Far Away
Hemedy PHD amechia wimbo mpya amemshirikisha Mwanadada Bela Combo wimbo unaitwa “Far Away” Studio Sei Records Video teyali wamesha Shoot itatoka hivi karibu amefanya na Kwetu Studio Hemedy ameiambia Bongo5
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5SYuKLMNKFwG*cwdrHMOhaweez6bE*BmxqKzvG7oJncNrsUOwjQTDc1*6jyC50piTEzjo85r4MbEjUsq-M4M4-ngxFVFI2NB/11002.jpg?width=650)
MOTO WAUNGUZA GODORO, UKUTA KWA BELA
Stori: Waandishi wetu/Risasi Mchanganyiko NYOTA wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda ambaye ni maarufu kama Bela, hivi karibuni alijikuta katika majonzi baada ya kijana wake wa kiume kuwasha moto na kuunguza godoro na ukuta wa sehemu ya nyumba aliyopanga. Godoro la Nyota wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda likiwa limeteketea kwa moto. Risasi Mchanganyiko lilimkuta msanii huyo akiwa amejiinamia nyumbani kwake muda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/80HUFF25OCCJuA6JvSN6ZaQTxcPitnqtFjypZQaArAhp9GGQfMTMlMhk6sbnmImmV0Ar5rGH-poCtjbo2Du6MouFeBefp19z/Bella.jpg?width=650)
AUAWA KWA GONGO KISA WIMBO WA CHRISTIAN BELA
Stori: Haruni Sanchawa MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Abdallah Said, mkazi wa Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam, Jumanne iliyopita alifariki dunia baada ya kupigwa kwa gongo na rafiki yake Maulid Kichuri kwa madai kuwa alikataa kumrudishia ‘memori kadi’ yake ya simu iliyokuwa na wimbo wa Mwanamuziki Christian Bella uitwao Nani Kama Mama. Abdallah Said enzi za uhai wake akiwa sambamba na jamaa yake.
Kwa...
10 years ago
VijimamboPamoja na kukosa tunzo ya Kili ki mizengwe Christian Bela apagawisha Tabora!
Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la show akiwa na kundi zima la Malaika Band. Christian Bela alitarajiwa na wadau wa muziki nchini kuwa angebeba tunzo hiyo bila ushindani mkubwa kutokana na wimbo wake wa Nani kama mama ambao aliomshirikisha Ommy Dimpoz kutamba sana katika vituo vyote vya redio na Runinga hapa nchini, lakini kama...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVWtHDoy7CNBi0t-gQ1SjEskXolRBfIHQ0mHOfKus0VfYzrjATeXeROFdXGgxBy9Rg*yZZ636jLn91CRF9ruMyep/ISABELA.jpg?width=650)
ISABELA, KALAMA WAMWAGANA
MWISHO umewadia! Ule uchumba wa muda mrefu wa wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda an Kalama Bakari ‘Luteni’ umevunjika kwa kinachoelezwa kuwa ni kukosekana kwa uaminifu baina yao. Wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya, Isabela Mpanda 'Bella' na Kalama Bakari ‘Luteni’ wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Global TV Online hivi karibuni kabla ya kumwagana. Chanzo makini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMkrVsD7mJYJjopIHABLbgitiLAk-Q34y1kAQnyQYQ9DV6oqPtCcidpPxzzpWTC4T6tr3mMRUTWvfg36tiT9RFRO/isabela.jpg?width=650)
ISABELA: KALAMA AMENITULIZA
Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda amekiri kuwa mpenzi wake, Luteni Kalama ndiye aliyemtuliza mapepe aliyokuwa nayo. Miss Ruvuma 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ na mchumba’ke ambaye ni memba wa Kundi la Gangwe Mob, Karama Bakari ‘Luteni Kalama’.
Akistorisha na safu… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania