Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kama huna ujuzi unaohitajika na mwajiri, Unafanyaje?

Kitu cha msingi unapotafuta kazi inakubidi ufanye uchunguzi wa soko la ajira. Fuatilia nafasi za kazi zinazotangazwa ambazo zinakulenga wewe na utazame mambo yafuatayo; Je ni nafasi gani imetangazwa? Na naneno gani au Msamiati gani inatumiwa na mwajiri? Angalia mshahara ni wa kiwango gani? Na vigezo gani vinatumika kumpata huyo mtu? Lakini je ufanyeje kama […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMA HUNA BAHATI YA KUPENDWA, TATIZO LIKO WAPI?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilipata barua pepe kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina moja la Joanitha. Aliniandikia ujumbe mrefu sana juu ya kile kinachomsumbua kwenye maisha yake ya kimapenzi na akaniomba nimsaidie ili aweze kuwa na amani.Ujumbe wake huo ndiyo ulionisukuma kuandika makala haya kuelekea kwenye ile siku muhimu sana kwa wapendanao ya Valentine’s Day. Aliandika hivi:...

 

10 years ago

GPL

OYA MWANA, NGUVU HUNA MKWANJA HUNA..HATA MKWARA?

Saluti kwa wanangu wote tunaochekiana kwa mafoni deile kupeana madini ya kuwalisha masela. Inakuwaje kwa kitaa hiyo ya bee machalii? Ni mpango mzima? Selaa huku kwa fasi ya tauni Bongo tambarare watu tunakabana makoo ileile. Ilimradi tu mwisho wa dei vichwa visomeke. Ama nini? Kaa humu wewe uwe mjanja wangu. Ebana tudei no mboyoyo mingi kozi laifu liko resi hatare. Kuna mwanangu Chuma au Benz ana bonge la talenti kwenye gemu la...

 

9 years ago

Bongo5

Kama unapata hela huna budi kuwekeza kwenye muziki wako – Master J

MasterJ

Mtayarishaji mkongwe wa muziki na mwanzilishi wa MJ Records, Master J, amesema muziki wa Tanzania ulipofika ni wakati wa wasanii kujitambua na kwendana na wakati kuanzia kazi zao hadi muonekano kwa watu.

MasterJ

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio wiki iliyopita, Master J alisema ni vizuri msanii awe na timu itakayomsaidia kuboresha muziki wake.

“Unajua kama msanii ukishafika level fulani kwenye jamii au soko lolote, kwenye macho ya watu umekuwa kama brand tuseme,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Saudia kutoa msaada unaohitajika Yemen

Saudi Arabia, imeahidi kutoa fedha ambazo Umoja wa Mataifa umesema zinahitajika nchini Yemen.

 

10 years ago

Mwananchi

ukitaka kujua tunda bivu au limeoza unafanyaje ?

Kuna siku nilikuwa dukani nikikagua nazi kwa ajili ya kula. Nikawa nikiitikisa tikisa na kuidonoa kwa fedha, kuufahamu mlio wake. Wazungu watatu kando walinitazama wakiona kama muujiza. Nikawaambia ule ni ufundi rasmi wa Kiafrika.

 

11 years ago

GPL

HUNA SABABU YA KUUWEKA MOYO WAKO REHANI!

MAPENZI ni sanaa yenye wigo mpana sana. Unahitajika uwe mbunifu sana ili uweze kuendelea kuwa bora kwa mpenzi wako kila siku. Lazima uwe mtafutaji wa kitu kipya ili uweze kuwa wa tofauti kwa mwenzako. Huwezi kuwa yuleyule, ikiwa hivyo maana yake utakinaiwa. Naam! All About Love ni safu nzuri kwako kwa ajili ya kuongeza maarifa na kukufanya uendelee kuwa bora zaidi kwa mpenzi wako. Ndugu zangu, mapenzi ni furaha. Huna sababu ya...

 

9 years ago

Habarileo

Mtoto hajui KKK mwalimu mkuu kazi huna -Manyanya

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Stella Manyanya amesema kuanzia mwakani serikali itawafukuza kazi walimu wakuu wa shule zote za msingi ambazo wanafunzi wake wa Darasa la Tatu watashindwa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK).

 

11 years ago

Habarileo

Walimu kuwa na mwajiri mmoja

CHAMA cha Walimu Nchini (CWT), kimeipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yao ya kuwa na mwajiri mmoja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hausigeli’ adaiwa kubakwa na mwajiri

MTOTO mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa maeneo ya Mghalani, mkoani hapa, ambaye ni mfanyakazi wa ndani ‘Hausigeli’, anadaiwa kubakwa na mwajiri wake na kumsababishia maumivu makali. Kaimu Kamanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani