Kamani: Mliosomea mifugo jihusisheni na biashara
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amewataka vijana waliosomea fani ya Mifugo na Uvuvi kujihusisha na biashara hiyo kama ilivyokuwa katika kilimo. Akizungumza na uongozi wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Dk. Kamani: Tengeni maeneo ya mifugo
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amezitaka halmashauri nchini kuangalia utaratibu mzuri wa kutenga maeneo ya mifugo na kuwa wasimamizi ili kuepusha migogoro inayotokea mara kwa...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI (Mb) AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA
10 years ago
Michuzi22 Mar
Tanzania Ijayo, Ufugaji Wa Kisasa Na Biashara Kubwa Ya Mazao Ya Mifugo Yetu - Profesa Muhongo
Wasifu Kwa Kifupi, Prof Sospeter Muhongo) 20 Machi 2015
10 years ago
Bongo511 Nov
Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8uxEJer_S68/XmPAR6begOI/AAAAAAALhvQ/F-PMH6hoG-0GfiRJNjustggeewOFgWeggCLcBGAsYHQ/s72-c/29c5eeb7-df9e-4ed5-af74-f3cb5a87d074.jpg)
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA INNOCENT BASHUNGWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.
Mkutano huo umefunguliwa Leo 07.03.2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na Mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa jukwaa la biashara na Rais wa Zanzibar Mhe .Dkt Ali Mohamed Shein ambae amefungua jukwaa hilo ambalo lengo kuu ni kutazama fursa...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Kamani ahamasisha kujiandikisha
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Titus Kamani amewaambia wananchi wa Mji wa Kahama kuwa ili Mbunge wa Jimbo Kahama James Lembeli arejee bungeni ni vyema wakajitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Dk. Kamani adaiwa kumdanganya JK
11 years ago
Habarileo05 Feb
Kamani akunjua makucha yake
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, ameagiza Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (Narco), kunyang’anya ranchi ndogo za ufugaji zinazomilikiwa na wawekezaji wazawa walioshindwa kuziendeleza.