Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamatakamata yaibuka

Kumeibuka kamatakamata ya watu wanaotuhumiwa kuhusika na milipuko ya mabomu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar na baadaye wahusika husafirishwa nyakati za usiku kwenda Tanzania Bara, imefahamika visiwani humu jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kamatakamata yaendelea Zanzibar

 Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar limemkamata mfanyabiashara Abdallah Ahmed Abdallah maarufu Machips (45), na fundi wa simu za mikononi, David Eliakim Odingo (32) kwa tuhuma za kuhusika na matukio makubwa yaliyowahi kutokea Zanzibar.

 

11 years ago

GPL

MAZITO YAIBUKA

Na Mwandishi Wetu
KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya bado haujazikwa huku mazito yakiibuka kuhusiana na msiba huo! Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41)...

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA!

Stori: Denis Mtima na Gabriel Ng’osha
Nyuma ya tukio la denti wa darasa la tano kwenye shule moja ya msingi iliyopo Mbezi-Shamba, Dar, aliyejitambulisha kwa jina moja la Irene (11) la kunaswa akifanya utapeli kwa kuwaibia raia, mazito yameibuka. Denti wa darasa la tano anayetambulika kwa jina moja la Irene (11) aliyenaswa akiwatapeli raia. Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni maeneo ya Posta Mpya, Dar, denti huyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mazito ya Chenge yaibuka

Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge ameibuliwa tuhuma nzito kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kudaiwa kuwa aliishawishi kampuni ya Independent Power Solution Limited (IPTL) kuingia mkataba na Tanesco na baadaye kuwa mshauri wa kampuni hiyo binafsi iliyomuingizia Sh1.6 bilioni zinazohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaibuka kidedea

Didier Drogba ameweza kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Shrewsbury.

 

10 years ago

GPL

MAPYA YAIBUKA MASHAMBULIZI

Na Haruni Sanchawa TUKIO la abiria Mosha Mahona kuwajeruhi abiria wenzake watano aliokuwa nao ndani ya daladala lililokuwa gumzo wiki iliyopita jijini Dar, nyuma ya tukio hilo mapya yameibuka, Uwazi linakujuza. Tukio hilo lililotokea Julai 23, mwaka, Mosha alikuwa amepanda daladala hilo akitokea Posta kuelekea Ubungo Simu 2000, alipofika maeneo ya Jangwani akaanza kuwachoma visu abiria wenzake kisha na yeye kuuawa na abiria....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapya yaibuka uchaguzi Simba

WAKATI uchaguzi mkuu wa Simba ukiwa bado gizani, mengine yamezidi kuibuka baada ya kudaiwa Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo chini ya Mwenyekiti wake Dk. Damas Ndumbaro ni batili kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAHLISO yaibuka sakata la Mdede

WAJUMBE wa Jumuiya ya Serikali za Wanafunzi wa Taasisi na Vyuo Vikuu nchini (TAHLISO), wamedai kuwa Rais wao Mussa Mdede ametekwa kisiasa kutokana na msimamo wake wa uongozi. Hivyo, wamelitaka...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mazito yaibuka‘magaidi’ Kidatu



 Imamu awakana Makwendo na wenzake
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
DEREVA  wa bajaji, Alphonce Maurus, aliyebeba watu wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa wa ugaidi, Kidatu wilayani Kilombero, ameweka hadharani namna alivyomfahamu mmoja wao.
Amesema mtuhumiwa ambaye aliuawa na wananchi baada ya kumjeruhi polisi, Hamad Makwendo, alijihusisha na mchezo wa kareti na masuala ya dini ya Kiislamu.
 Dereva huyo huyo aliwaeleza waandishi wa habari waliofuatilia taarifa za kina za tukio hilo jana kwamba Makwendo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani