Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Zitto yampa Gavana saa 48

 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imempa saa 48 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu kuipatia kamati hiyo taarifa ya kushindwa kufanya kazi kwa Kampuni ya Lazard Freres iliyokuwa inachunguza Sh42.6 bilioni zilizobaki katika uchunguzi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kamati yampa Waziri Nyalandu muda zaidi

Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Mazingira imemwongezea muda Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuifanyia marekebisho bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2015/2016 iliyokataliwa baada ya kubainika kuwa na kasoro kadhaa.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA LEMBELI YAMPA MIEZI MITATU WAZIRI MWENYE DHAMANA YA MAZINGIRA KUIBANA MIGODI

 Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika ziara ya kutembelea migodi ya dhahabu na kamati ya mazingira ,ardhi nyumba na maendeleo katika mgodi wa buzwagi . Mmoja wa watalamu  wa kigeni akiwakaribisha baadhi ya wana habari katika ziara ya kamati ya mazingira .
 kamati ya Bunge Ardhi maliasili na mazingira wakiwasili katika mgodi wa buzwagi wilayani kahama . Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi maliasili na mazingira mh  James Lembeli.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya bunge ya...

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA ZITTO KABWE KESHO SAA NANE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda kwa Kamati Kuu ya Chadema kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka kesho saa nane…

 

10 years ago

Mwananchi

Saa 48 Kamati ya PAC zatimia leo

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) leo ndiyo siku inayotakiwa kuwasilisha kadi za magari 11 mali ya mamlaka hiyo ambayo yanadaiwa kuhamishwa umiliki wake katika mazingira ya kutatanisha na kubandikwa namba binafsi.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara

Maelezo ya Gavana Prof Benno Ndulu Kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Shilingi ya Tanzania kwa Kamati ya Fedha Uchumi na Biashara View this document on Scribd

 

5 years ago

Bongo5

Simba yaendelea kubaki na pointi ilizopewa na kamati ya saa 72

Kamati ya katiba, Sheria na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) limemaliza kikao chake na klabu ya Simba usiku wa kuamkia leo na kuazimia Simba inaendelea kubaki na pointi ilizopewa na Kagera Sugar.


Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuahirisha kikao.

Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine, amesema kamati hiyo itakaa tena na pamoja na mashahidi wengine kuhojiwa. “Kuna watu wanatakiwa kuhojiwa, na kamati itakaa wiki...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zitto yapewa rungu

Naibu Spika wa Bunge, Job NdugaiBUNGE limesema hakuna mgongano wowote baina ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC) na ile ya Nishati na Madini katika kushughulikia mikataba ya wawekezaji katika sekta ya gesi na mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge laigeuka Kamati ya Zitto

 Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah amesema Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), chini ya Zitto Kabwe haikufuata utaratibu ilipoagiza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Andilile wakamatwe na polisi kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya gesi na mapitio yake mbele ya kamati hiyo tangu mwaka 2012.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati ya Zitto yafufua ufisadi EPA

KAMATI ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuifikishia taarifa ya kushindwa kufanya kazi kwa kampuni ya Lazard Freres iliyokuwa inachunguza ufisadi wa sh. bilioni 42.6...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani