Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Zitto yawabana walioingiza ndege mbovu

Pg 3Na Elizabeth Mjatta,

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), imeagizwa kufikishwa mahakamani kwa watumishi wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) waliohusika na mkataba wa ukodishaji ndege mbovu.

Akizungumza wakati wa kuhitimisha taarifa ya PAC kwenye kikao kilichopokea taarifa ya ATCL, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Zitto Kabwe, alisema ukodishwaji wa ndege kutoka Kampuni ya Wallis Trading Inc. ya China kulikofanywa na wataalamu wa Tanzania kuliisababishia serikali...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zitto yapewa rungu

Naibu Spika wa Bunge, Job NdugaiBUNGE limesema hakuna mgongano wowote baina ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC) na ile ya Nishati na Madini katika kushughulikia mikataba ya wawekezaji katika sekta ya gesi na mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge laigeuka Kamati ya Zitto

 Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah amesema Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), chini ya Zitto Kabwe haikufuata utaratibu ilipoagiza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Andilile wakamatwe na polisi kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya gesi na mapitio yake mbele ya kamati hiyo tangu mwaka 2012.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yataka ukaguzi IPTL

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeagiza ukaguzi maalumu katika uuzaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL na utoaji wa fedha katika akaunti ya Escrow Benki Kuu Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yampa Gavana saa 48

 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imempa saa 48 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu kuipatia kamati hiyo taarifa ya kushindwa kufanya kazi kwa Kampuni ya Lazard Freres iliyokuwa inachunguza Sh42.6 bilioni zilizobaki katika uchunguzi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kamati ya Zitto yafufua ufisadi EPA

KAMATI ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuifikishia taarifa ya kushindwa kufanya kazi kwa kampuni ya Lazard Freres iliyokuwa inachunguza ufisadi wa sh. bilioni 42.6...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yawatimua vigogo wa TPDC

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), jana iligeuka ‘mwiba mkali’ kwa watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Kampuni ya Ranchi ya Taifa (Narco) na Wizara ya Nishati na Madini, baada ya kuwatimua wakurugenzi na wenyeviti wa bodi kwa kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe na wizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yataka ATCL mpya kuundwa

Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imetoa siku 113 kwa Msajili wa Hazina (TR), Lawrence Mafuru kukamilisha mpango mkakati wa kuanzisha upya Shirika la Ndege Tanzania kwa kushirikiana na Mamlaka za Hifadhi za Ngorongoro na Tanapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto kuanza kazi wiki ijayo

Taasisi za Serikali na mashirika ya umma zitakuwa na wakati mgumu pale zitakapoanza kujitokeza mbele Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kama zitakuwa zimefanya matumizi ya fedha za umma kinyume na utaratibu.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zitto yawatimua maofisa Wizara ya Kilimo

Mwenyekiti wa PAC, Kabwe ZittoKAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imewafukuza kwenye kikao timu ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika iliyoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Sophia Kaduma na kuipa wiki mbili kutekeleza maagizo kisha kuifuata kamati hiyo mjini Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani