Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMAUNAMPENDA MVUMILIE, KAMA KUACHA UTAACHA WANGAPI

Mpenzi msomaji wangu, huko mtaani kuna watu ambao wamekuwa wakipachikwa majina mabaya kutokana na tabia zao. Wapo ambao wanaitwa malaya kwa sababu kila mara wamekuwa wakibadili wapenzi.
Unamkuta leo yuko na f’lani, kesho unaambiwa kahamia kwa mwingine. Si ajabu ndani ya muda mfupi akawa ameshatoka na idadi kubwa ya wapenzi.Kimsingi kuna wale ambao wanastahili kuitwa majina hayo mabaya kwa kuwa kubadili kwao wapenzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI NDALICHAKO AZITAKA SHULE KUACHA KUTUMIA CORONA KAMA KITEGA UCHUMI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, amezitaka  Shule kuacha kutumia ugonjwa wa Covid-19 kama kitega uchumi kwa kuagiza fedha za ziada kutoka kwa wazazi; na kuwa Serikali  itachukua hatua kwa shule zinazofanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuzifutia usajili. 

Waziri Ndalichako ametoa agizo hilo jijini Dodoma alipozungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Mwongozo wa Kudhibiti Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona (Covid-19) katika Vyuo na Taasisi za Elimu nchini uliotolewa na...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Amani Tanzania Sadiki  Godigodi(kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo Mei 20 jijini Dar es Salaam wakati akielezea taasisi hiyo inavyomuunga mkono Rais Dk.John Magufuli katika mapambano dhidi ya janga la Corona.Katikati ni Mkurugenzi wa Siasa na Dini wa taasisi hiyo Alhaji Dk.Sule Seif na kushoto ni Mshauri wa taasisi hiyo Issa Mkalinga.
 Mshauri wa Taasisi ya Amani Tanzania Issa Mkalinga (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.Wengine ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiteto wamekufa zaidi ya 15, bado wangapi?

RAIS wangu, ni wapi katika nchi yetu ambako hakuna mapigano? Mapigano kati ya wakulima na wafugaji yametapakaa nchi nzima. Mapigano kati ya wananchi na wawekezaji yameenea kote. Na katika mapigano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka watu wangapi wafe Kiteto ndipo tuchukue hatua?

UKIFUATILIA migogoro ya ardhi nchini na jinsi ilivyoleta athari, unaweza kujiuliza kwanini Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, asijiuzulu. Hakuna ubishi kwamba suala la migogoro ya...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE KABLA YA NDOA, ANATAKIWA AWE ‘AMETOKA’ NA WANAUME WANGAPI?

NIswali gumu lakini jepesi kwa mtazamo. Wengi wamekuwa wakiingia katika mjadala huu bila ya kujua suala lenyewe lina sura mbili tofauti. HAITAKIWI
Kwa majibu ya maandiko matakatifu mwanamke na mwanaume hawana ruhusa ya kukutana kimwili mpaka pale watakapopata baraka halali ya kuishi kama mume na mke. Kwa hiyo kumbe hakutakiwi kuwa na idadi! Baraka hizi kwa siku hizi zinatoka makanisani (kwa Wakristo), misikitini (kwa Waislamu)...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Jee ccm ina mafisadi wangapi tukiwacha huyo wanai mshuku Mh Luwassa?

The post Jee ccm ina mafisadi wangapi tukiwacha huyo wanai mshuku Mh Luwassa? appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE KABLA YA NDOA, ANATAKIWA AWE‘AMETOKA’ NA WANAUME WANGAPI?-2

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika mada hii ya ‘mwanamke kabla ya ndoa anatakiwa awe ‘ametoka’ na wanaume wangapi’ tuliishia kwa kumsikiliza bibi mwenye miaka 76 akisimulia mwanamke anavyotakiwa kuwa kimapenzi kabla ya ndoa. Alisema: “Ukimuona mwanamke mpaka anaolewa ameshalala na wanaume zaidi ya watano hadi sita huyo ana hulka ya umalaya na hatakuwa mwaminifu katika ndoa. Kama una historia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani