Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kambi Yanga nje hatihati

Ule mpango wa Yanga kupiga kambi nje ya nchi ni dhahiri huenda usifanikiwe baada ya kocha wa timu hiyo Ernest Brandts kukiri kuwa mpaka sasa hafahamu kama safari hiyo bado ipo au imekufa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kocha Omog agomea kambi ya nje Azam FC

Dar es Salaam. Kocha mkuu wa Azam FC, Joseph Omog amewasilisha maombi matatu kwa uongozi wa timu hiyo yanayotakiwa kufanywa kwa haraka huku akisema hataki kambi ya nje ya nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi akacha kambi Yanga

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi ameanza vituko Yanga baada ya kuondoka kikosini na kushindwa kuambatana na wenzake walioingia kambini jana Bagamoyo, Pwani.

 

11 years ago

GPL

Yanga SC yakubali kuweka kambi Chamazi

Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa upo tayari kuweka kambi Chamazi kufuatia ofa waliyoitoa Azam ya kuwataka wakaweke kambi huko kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri. Inaelezwa kuwa wiki iliyopita uongozi wa Azam FC ulikataa ombi la Al Ahly kuweka kambi kwenye eneo lao hilo pindi watakapokuja nchini kucheza dhidi ya Yanga katika hatua...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AZINDUA RASMI KAMBI YA AIRTEL RISING STARS INTERNATIONAL SOCCER CLINIC

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Kambi Maalum ya Kimataifa ya Mafunzo ya Mpira wa Miguu kwa vijana wa kike na kiume wenye umri chini ya miaka 17 kutoka nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika Viwanja vya Azam vilivyopo Chamazi jijini Dar es Salaam tarehe 23 Aprili, 2014. Kambi hiyo inadhaminiwa kwa ushirikiano kati ya kati ya Kampuni ya Simu ya Airtel-Tanzania na Klabu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. TEDROS ADHENOM, WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ETHIOPIA ATEMBELEA KAMBI YA WANARIADHA WA TANZANIA ADDIS ABABA

Mhe. Dr. Tedros Adhenom, wa tatu kutoka kulia akiwa na wanaridha wa Watanzania wa mbio ndefu waliotia kambi mjini Addis Ababa. Wa pili kulia ni Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, wa Kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia, Mhe. Balozi Solomon. Na wengine wailiokaa ni Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Michezo ya Ethiopia. Mhe. Dr. Tedros aliwaasa wanariadha hao na kuwataka wafanye vizuri katika mashindano ya Madola yatakayofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga: Msuva atauzwa nje ya nchi


Baada ya klabu mbili za ligi kuu ya Bara wakiwemo watani wa jadi Simba kutangaza kumuhitaji winga hatari Simon Msuva, Yanga imesema mchezaji wake huyo ni wa hadhi ya kuuzwa nje ya nchi tu kama timu hiyo itaamua kufanya hivyo.
Simba imetangaza kumuhitaji winga huyo ambaye ameonyesha kiwango cha juu tangu mwaka jana huku akionekana kuwa mkombozi wa Yanga msimu huu.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, kocha msaidizi wa Yanga Salvatory Edwarad alisema hawafikirii kumuuza Msuva kwa kuwa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe asaini Yanga, Maximo nje

Yanga imefanya usajili wa kushtukiza kwa kumsajili Amissi Tambwe aliyeachwa na Simba huku kibarua cha Mbrazili Marcio Maximo kikiwa dakika za mwisho Jangwani.  

 

10 years ago

GPL

Yondani, Cannavaro watupwa nje Yanga

Beki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani Na Waandishi Wetu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, ikizidi kupamba moto, mabeki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani na nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wametupwa nje ya kikosi hicho baada kushindwa kufanya mazoezi na timu hiyo kutokana na kupata majeraha. Katika mazoezi ya jana asubuhi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar, Yondani alianza...

 

11 years ago

Mwananchi

Itapendeza Yanga ikijenga uwanja nje ya mji

Wiki iliyopita wazee wa Yanga walipanga kufanya maandamano leo kwenda Ikulu kukutana na Rrais Jakaya Kikwete iwapo ofisi ya Meya ya Manispaa ya Ilala itashindwa kuwajibu ombi lao la kuongezewa eneo ili wajenge Uwanja wa kisasa wa michezo katika eneo la Jangwani pembeni ya klabu yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani