Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni dhidi ya tarakilishi za Apple, kunani?

Maelfu ya watumiaji wa tarakilishi za kampuni ya Apple aina ya patakilishi wameanzisha kampeni dhidi kuharibika haraka kwa vioo vya tarakilishi hizo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Tarakilishi husababisha matokeo mabaya shuleni

Ripoti mpya kutoka shirika la OECD inasema kuwekeza kwenye kompyuta mashuleni hakuleti kiwango kikubwa cha mabadiliko ya matokeo kwa wanafunzi darasani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampeni dhidi ya ubaguzi wa albino

Kampeni ya kupambana na ubaguzi dhidi ya albino imeanzishwa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

 

10 years ago

BBCSwahili

USA:Kampeni ya angani dhidi IS haitoshi

Mkuu wa jeshi nchini Marekani amesema kuwa kampeni ya angani dhidi ya kundi la Islamic State hayawezi kuliangamiza kundi hilo.

 

10 years ago

Mtanzania

Kampeni dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa

????????Na Veronica Rwamwald, Dar es Salaam

KLINIKI ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili, imeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha umma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao Watanzania wengi hawaufahamu.

 

Ugonjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia watu wenye usonji Tanzania, Dk. Stella Rwezaula,

aliishukuru...

 

10 years ago

Michuzi

Harambee ya kuchangia mapambano dhidi ya kampeni ya tezi dume

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akiongea na wageni waalikwa  na kuwashukuru wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam. Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo  (WAMA) Daudi Nassib  akiwakilisha mchango wa Sh. milioni tano ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu   kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Kampeni Dhidi ya Ukimwi Kilimanjaro

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi hundi ya jumla ya Shilingi Milioni miamoja na Hamsini 150m/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mkoa wa Geita.
Fedha hizo si sehemu ya shilingi milioni mia saba(700m/-) alizokabidhi Rais Kikwete jana usiku kwa taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na mapambano dhidi ya ukimwi Tanzania.Fedha hizo zinatokana na kampeni ya kukusanya fedha kwa njia ya kupanda mlima Kilimanjaro kila mwaka ambapo wafadhili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo

KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUELIMISHA JAMII DHIDI YA MAKOSA MTANDAO YASHIKA KASI

Kufuatia mpango kabambe wa kuelimisha jamii dhidi ya makosa mtandao tayari kumekua na video za katuni, Mchezo wa komputa “Computer gane”, majarida ya katuni pamoja na machapisho mengine yote yakiwa na lengo la kutoa elimu kwa jamii juu ya jinsi ya kujilinda dhidi ya makosa mtandao kuanzia ngazi ya mtu binafsi hadi kufikia ngazi ya kitaifa. Picha: Mfano wa Vijarida vinavyo toa elimu dhidi ya usalama mtandao. Aidha, Bwana. Yusuph Kileo ametoa wito kwa vyombo vya habari nchini kuangalia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WA CHINA WAZINDUA KAMPENI YA KUWALINDA WANYAMA DHIDI YA UJANGILI


Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya kupambana na ujangili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo imeanzishwa na watu wa China kwa ajili ya kuunga jitihada za watanzania katika mapambano hayo ya kuwalinda wanyama dhidi ya ujangili hasa tembo.Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu Youqing (kulia), akimpa zawadi ya mpira kwa niaba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kinondoni, Faudhia Eddy katika uzinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani